Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyani awagawia watu pesa India

Nyani mmoja katika jimbo la Himachal Pradesh Kaskazini ya India, amewagawia watu pesa halisi.Katoa wapi pesa hizo?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NYANI AGAWA PESA INDIA

Nyani aina ya Macaque sawa na yule aliyegawa fedha kwa wananchi. NYANI mmoja katika Jimbo la Himachal Pradesh, Kaskazini ya India, amewagawia watu pesa taslimu kutoka mtini. Taarifa zinasema kuwa watu waliokuwa wanajivinjari katika mji wa Shimla jimboni humo, walianza kukimbia huku na kule wakiokota pesa zilizokuwa zinarushwa na nyani huyo kutoka juu ya mti kwa karibu saa moja. Walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa nyani huyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waomboleza kifo cha Nyani India

Wanakijiji 200 nchini India walinyoa nywele kama ishara ya kuomboleza kifo cha Nyani mmoja aliyekuwa akiishi akribu na hekalu.

 

10 years ago

CloudsFM

MTU ASIYEFAHAMIKA AME’HACK’ NAMBA YA SIMU YA FID Q NA KUWATAPELI WATU PESA

Hivi karibuni zimeenea habari za mastaa wa Kibongo namba zao za simu kuwa ‘hacked’ tukio hilo lilishamkuta msanii Snura,ambapo kwa saa zisizozidi 48 tayari mastaa wawili wa Bongo Fleva namba zao zimekua hacked,ambao ni Ambwene Yesaya ‘AY’ na Fareed Kubanda ‘Fid Q’.Mtu huyo asiyefahamika alihack namba ya simu ya FID Q na kuwapigia watu wake wa karibu msanii huyo na kuwakopa hela.

 

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Takriban watu 20 wapoteza maisha India

Treni mbili zimekosea njia huko nchini India na kutumbukia katika mto nchini India

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu waliofariki na pombe India wafika 90

Zaidi ya watu 90 wamefariki kutokana na pombe iliokuwa na sumu katika mji wa India, Mumbai huku wengi wengine wakiwa hospitalini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 10 wauawa katika mkanyagano India

Takriban watu 10 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika mkanyagano uliofanyika katika hekalu moja katika jimbo la mashariki la Jharkhand nchini India .

 

10 years ago

BBCSwahili

Kimbunga kikali chawaua watu 6 India

Watu sita wameripoti kufariki nchini India baada ya kimbunga chenye nguvu nyingi kwa jina 'Hudhud' kupiga eneo la pwani ya India

 

10 years ago

StarTV

Wimbi la Joto lawaua watu 430 India


Takriban watu 430 wamekufa kutokana na wimbi la joto linalovuma nchini India.

Takriban watu 430 wamekufa kutokana na wimbi la joto linalovuma nchini India.

Watafiti wamesajili kiwango cha juu mno cha nyuzijoto 48’C katika maeneo mengi nchini humo.

Vifo vingi zaidi vimeripotiwa katika majimbo ya kusini ya Telangana na Andhra Pradesh, ambapo watu 140 wamepoteza maisha yao kuanzia jumamosi wimbi hilo la joto lilipotokea.

Mji wa Allahabad ulioko Uttar Pradesh ulisajili vipimo vya nyuzijoto 48C...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani