Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYANZA: Mwenyekiti wa Bawacha adaiwa kutekwa na kujeruhiwa

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) mkoani Geita, Husna Amri (34) ameokotwa na wafyatua matofali wa Mtaa wa Pakacha Wilaya ya Kondoa, Mkoa wa Dodoma, akiwa amepigwa na kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

A - Z KUTEKWA, KUTESWA KWA MWENYEKITI CHADEMA

Makongoro Oging na Haruni Sanchawa
MWENYEKITI wa Chadema wilayani Temeke, jijini Dar Joseph Yona,33, ameeleza A-Z sakata la kutekwa, kuteswa kwake na vijana sita wakati akienda nyumbani kwake Mtoni kwa Azizi Ally. Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Joseph Yona akipelekwa Kitengo cha Mifupa Muhimbili… ...

 

10 years ago

Habarileo

Mdee Mwenyekiti mpya Bawacha

Halima MdeeMBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (Chadema), amepata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha), baada ya kupata kura 165 kati ya kura 244 na kuwaacha wenzake mbali.

 

10 years ago

Michuzi

HALIMA MDEE AWA MWENYEKITI MPYA BAWACHA

Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa (Bawacha), wakifungua shampeni kusherehekea ushindi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Taifa, Halima Mdee (kushoto) baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi huo. (Picha na Francis Dande) Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bara), Hawa Mwaifunga akilia kwa furaha baada ya kushinda nafasi hiyo katika uchaguzi uliofanyika juzi.  Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake wa Chadema wakiwa katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti CCM adaiwa kulawiti

>Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Uyui, Musa Ntimizi amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumlawiti kijana mmoja (jina linahifadhiwa) mkazi wa Manispaa ya Tabora.

 

11 years ago

Habarileo

Mwenyekiti Bunge Maalum adaiwa kupendelea

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la Asasi zisizo za kiserikali (NGO), amemlalamikia Mwenyekiti wa muda wa bunge hilo, Pandu Ameir Kificho kuwa anawapa nafasi ya kuchangia kwenye bunge hilo watu maarufu na wanaotoka kwenye vyama vya siasa.

 

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Albino avamiwa na kujeruhiwa Kenya

Watu wasiojulikana wanaripotiwa kujaribu kukata viungo vya mwili mwili wa mwanamme mmoja albino nchini kenya

 

10 years ago

Tanzania Daima

Albino Kaliua anusurika kutekwa

BINTI mwenye ulemavu wa ngozi (Albino), Kulwa Joseph (21), mkazi wa Kijiji cha Usonga Kata ya Silambo Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, ameponea chupuchupu kutekwa baada ya kuvamiwa katika makazi...

 

10 years ago

Mtanzania

Mkono anusurika kutekwa Dar

mkonobcNa Kulwa Karedia

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM), amesurika kutekwa na watu wasiofahamika katika eneo la Tangibovu, Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na kusainiwa na Mkono mwenyewe, ilisema tukio hilo lilitokea juzi saa 4:30 asubuhi.
“Nikiwa na wasaidizi wangu wawili tukitoka Bagamoyo tukiwa ndani ya gari langu aina ya Marcedes Benz katika eneo la Mbezi Tangibovu ghafla yalitokea magari mawili ya Toyota Prado na Toyota Land Cruiser VX...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani