Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyota wa filamu ya Dracula afariki

Mwigizaji wa siku nyingi na nyota wa filamu zilizopendwa na wengi Sir Christopher Lee amefariki akiwa na umri wa miaka 93.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Msanii nyota wa filamu za Bongo movies Rachel Haule "Recho" afariki dunia

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani chini), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.  Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' mapema leo. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto...

 

5 years ago

Michuzi

Muigizaji nyota katika filamu ya Queen of Katwe Nikita Pearl Waligwa afariki Dunnia.


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

MWIGIZAJI mdogo kabisa Nikita Pearl Waligwa aliyeng'ara katika filamu ya "Queen of Katwe" amefariki dunia akiwa na miaka 15 na kwa mujibu w vyombo vya habari nchini Uganda vimeripoti kuwa Nikita alipata tatizo la uvimbe kwenye ubongo.

Katika Filamu hiyo iliyotoka mwaka 2016 inamwelezea mtu mwenye maarifa kutoka maeneo ya makazi duni nchini Uganda aliyekuwa anacheza mchezo wa Chess.

Filamu hiyo ambayo ni kisa cha kweli Cha Phiona Mutesi ambaye alianza kucheza chess...

 

9 years ago

BBCSwahili

Nyota wa Suffragette atetea usawa katika filamu

Mwigizaji Meryl Streep amesema ni jambo la “kuudhi sana” kwamba wengi wa watathmini wa filamu huwa ni wanaume.

 

10 years ago

Michuzi

HASHIM KAMBI KUONGOZA NYOTA BONGO KATIKA FILAMU YA CPU

Hashim Kambi ‘Ramsey’ Msanii mkongwe katika tasnia ya filamu za Bongo Movie Hashim Kambi ‘Ramsey’ ni moja kati ya wasanii wakubwa Bongo ambaye atawaongoza wasanii nyota na wakongwe katika filamu kubwa ya CPU inayotarajiwa kuingizwa katika DVD baada ya kuonyeshwa katika majumba ya sinema ndani na nje ya nchi.
Filamu ya CPU ni moja ya kazi kubwa sana kutengenezwa na watayarishaji wa ndani na kushirikisha wasanii zaidi ya 200 na  ni filamu  yenye ubora wa kipekee ambayo awali ilionyeshwa katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Muigizaji nyota, muhusika katika filamu ya Queen of Katwe Nikita Pearl Waligwa ameaga dunia

Nikita Pearl Waligwa aliyeshiriki filamu iliyotolewa 2016, kuhusu mchezaji chess mwerevu wa Uganda alipatikana na uvimbe kwenye ubongo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwigizaji wa filamu ya Godzilla afariki

Hiroshi Koizumi ,msanii wa Japan ambaye aliigiza katika filamu nyingi za Godzilla amefariki akiwa na umri wa miaka 88.

 

10 years ago

GPL

MUONGOZAJI WA FILAMU BENII OTIENO AFARIKI DUNIA

Mdogo aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' enzi za uhai wake. Mdogo aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' amefariki dunia ghafla katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Dar mchana leo. Msiba upo Sinza Vatican Benii alikuwa muigizaji na muongozaji wa filamu...

 

5 years ago

Bongo5

Muigizaji wa filamu za James Bond afariki dunia

Muigizaji Clifton James, maarufu kama ‘JW Pepper’ kwenye filamu mbili za James Bond, amefariki dunia akiwa na miaka 96.

Alifariki karibu na mji wa Gladstone, Oregon, siku ya Jumamosi kutokana na matatizo ya ugonjwa wa kisukari.

James alifahamika sana kutokana na uigizaji wake katika filamu za Bond za ‘Live and Let Die’ na ‘The Man with the Golden Gun’ miaka ya sabini.

Binti yake Lynn amesema: ”Alikuwa mtu mpenda watu na mwenye uwazi sana. Alipendwa sana na kila mtu.”

Aliongeza: “Sidhani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani