MUONGOZAJI WA FILAMU BENII OTIENO AFARIKI DUNIA

Mdogo aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' enzi za uhai wake. Mdogo aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu marehemu George Otieno ‘Tyson’ aitwaye Benson Okumu Otieno 'Benii' amefariki dunia ghafla katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Dar mchana leo. Msiba upo Sinza Vatican Benii alikuwa muigizaji na muongozaji wa filamu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo522 Oct
Picha: Muongozaji wa filamu wa Tanzania ashinda tuzo za Marekani na kuwashangaza kwa ubora wa filamu zake
5 years ago
Bongo514 Feb
Muigizaji wa filamu za James Bond afariki dunia
Muigizaji Clifton James, maarufu kama ‘JW Pepper’ kwenye filamu mbili za James Bond, amefariki dunia akiwa na miaka 96.
Alifariki karibu na mji wa Gladstone, Oregon, siku ya Jumamosi kutokana na matatizo ya ugonjwa wa kisukari.
James alifahamika sana kutokana na uigizaji wake katika filamu za Bond za ‘Live and Let Die’ na ‘The Man with the Golden Gun’ miaka ya sabini.
Binti yake Lynn amesema: ”Alikuwa mtu mpenda watu na mwenye uwazi sana. Alipendwa sana na kila mtu.”
Aliongeza: “Sidhani...
11 years ago
Michuzi30 Oct
TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA.

9 years ago
Bongo531 Dec
Wakazi kuanza kuwa muongozaji wa filamu

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Wakazi ameweka wazi fani yake nyingine ya kuongoza filamu ambayo anatarajia kuifanyia kazi rasmi.
Wakazi ameiambia Bongo5 kuwa ubunifu wake umempatia ujuzi wa kufanya vitu vingi.
“Kwenye mambo ya filamu mimi ni mtu mbunifu na watu wote ambao ni wabunifu hawawezi kujilimit,” alisema.
“So far ni kitu ambacho nakipenda na tayari nimeshashirikishwa kwenye movie moja inaitwa Bongo na Fleva lakini haijatoka ila nataka wakati ujao niweze kukaa nyuma ya kamera na kuwa...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Msanii nyota wa filamu za Bongo movies Rachel Haule "Recho" afariki dunia
.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Salamu za Bodi ya Filamu Tanzania katika msiba wa George Otieno Okumu
Katibu Bodi ya Filamu Bibi Joyce Fisoo akisoma salamu za rambirambi wakati wa kuuaga mwili wa aliyekua mtayarishaji wa filamu nchini George Otieno Okumu “Tyson” katika viwanja vya Leaders’ Kinondoni. Tyson alifariki mwishoni mwa wiki iliyopita kwa ajali ya gari.
Ndugu zangu nashindwa hata niseme nini kutokana na mfululizo wa misiba ya wanatasnia wenzetu, nashindwa kueleza simanzi kubwa niliyonayo, nakosa la kuongea ninabaki kusema kazi ya Mungu haina makosa katika yeye tumeubwa na yote...
10 years ago
GPL
TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.
Taarifa hizi ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu yake zinasema kuwa, mauti haya yamemfika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka walipokuwa wameenda kwa ajili ya kipindi cha The mboni show ambacho yeye alikuwa ndiye muongozaji mkuu.
Wasanii na mastaa mbalimbali nchini wameoneshwa masikitiko yako juu ya...
10 years ago
Bongo528 Oct
Muongozaji wa filamu wa Tanzania atajwa kuwania tuzo za Marekani