Wakazi kuanza kuwa muongozaji wa filamu
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Wakazi ameweka wazi fani yake nyingine ya kuongoza filamu ambayo anatarajia kuifanyia kazi rasmi.
Wakazi ameiambia Bongo5 kuwa ubunifu wake umempatia ujuzi wa kufanya vitu vingi.
“Kwenye mambo ya filamu mimi ni mtu mbunifu na watu wote ambao ni wabunifu hawawezi kujilimit,” alisema.
“So far ni kitu ambacho nakipenda na tayari nimeshashirikishwa kwenye movie moja inaitwa Bongo na Fleva lakini haijatoka ila nataka wakati ujao niweze kukaa nyuma ya kamera na kuwa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies23 May
Neno la Shukrani Kutoka kwa Ray Baada ya Kuwa “Muongozaji Wa Filamu Anayependwa”
Nawashukuru Sana Watanzania Wote Kwa Kuniwezesha Kuwa Director Bora Mwaka 2015 En 2016. Pia Napenda Kuwapongeza Waandaji Wa (TUZO ZA WATU) Nyinyi Ni Mfano Wa Kuigwa Kwenye Hizi Tuzo Si Kwa Sababu Nimepata Noo Ila Nasema Ukweli Toka Moyoni Mwangu Usiku Wa Jana Mmefanya Kitu Kikubwa Sana Hongereni. Pia Nilikuwa Najua Kuwa Wadau Msingeweza Kuniangusha Kwa Kuwa Mnajua Nilipo Itoa Tasnia Mungu Awabariki Sana.
By: Vicent Kigosi ‘Ray’ on Instagram
10 years ago
Bongo522 Oct
Picha: Muongozaji wa filamu wa Tanzania ashinda tuzo za Marekani na kuwashangaza kwa ubora wa filamu zake
11 years ago
GPL
MUONGOZAJI WA FILAMU BENII OTIENO AFARIKI DUNIA
10 years ago
Bongo528 Oct
Muongozaji wa filamu wa Tanzania atajwa kuwania tuzo za Marekani
10 years ago
Bongo506 Oct
Muongozaji wa filamu ya Straight Outta Compton F. Gary Gray kuingoza Furious 8
10 years ago
Bongo529 Sep
Picha: Kundi la Best Life Music (Burundi), lashoot video ya wimbo wake na muongozaji wa Rwanda baada ya Hanscana kuwa ‘busy’
9 years ago
Bongo518 Dec
Filamu ya maisha ya Tupac kuanza kutengenezwa Atlanta

Filamu itakayoongelea maisha ya Tupac, All Eyez On Me imeanza kufanyika jijini Atlanta, Marekani kwa mujibu wa mtayarishaji, L.T. Hutton.
Aliandika kwenye Instagram:
IT’S BEEN A LONG JOURNEY BLOOD SWEAT AND TEARS ALL THE LIES. LL THE BULLSHIT HARD WORK HAS PAID OFF !! WE START SHOOTING IN A FEW HOURS !!!!! HISTORY WILL BE MADE ALL LOVE TO THE REAL THE FAKE THE RUMOR BELIEVER’S THE SOCIAL NETWORKING NON FACT CHECKING ASS HOLES YOU KNOW WHAT IT IS !! LET’S GO !!! #alleyezonme#tupac #2pac...
10 years ago
Bongo528 Sep
Wakazi na One The Incredible kuonekana kwenye filamu ‘Bongo na Fleva’
9 years ago
Bongo519 Nov
Filamu ya Going Bongo kuanza kuoneshwa kwenye majumba sinema Dar kuanzia Dec 11

Filamu ya Going Bongo itaanza kuoneshwa kwenye majumba ya sinema jijini Dar es Salaam, ikiwemo Century Cinemax kuanzia December 11.
Filamu hiyo iliyoshinda tuzo ya Best East African Film (ZIFF) na Best International Film (BEFFTA UK) imechezwa na Ernest Napoleon.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!