NYOTA WA MAREKANI, NIGERIA AMBAO PIA NI WAJASIRIAMALI
![](http://api.ning.com:80/files/6xzDXLZEGuu8Cgu2BuhsqHuttHEaO8F2Dyz4EFpxcTxWxKgI*Kj9rGTqJzHe1AHEDHdprTAoqEbJ7tqfFIO7cgruNxRgey-a/PD3.jpg?width=650)
Sean John ' P. Diddy'. LICHA ya wasanii nyota wa filamu wa Hollywood nchini Marekani kuingiza fedha nyingi kutokana na kuigiza na kudhaminiwa na makampuni makubwa, waigizaji wa Nigeria waliochini ya Nollywood, mambo yao hayaendi vizuri kama wanavyotaka. Pamoja na kupata mafanikio makubwa katika kuigiza, waigizaji wa Marekani wamejiingiza katika sanaa nyingine nyingi kama yale ya fasheni za mavazi ambako wameingiza mkwanja...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi07 Sep
Nyota wa Ligi Kuu Bara ambao kadi hazichezi mbali nao
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Drogba akanusha madai ya kujiunga na Chelsea wakati huu ambao ligi ya Marekani MLS imemalizika!
Drobga
Na Rabi Hume wa Modewjiblog na Mashirika ya Habari.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba (37) anayekipiga kwa sasa katika kblabu ya Montreal Impact inayoshriki ligi kuu ya Marekani MLS amekanusha uvumi uliokuwa umeanza kusambaa kuwa mchezaji huyo atajiunga na klabu yake ya Chelsea kwa mkataba wa muda mfupi wakati huu ambao ligi kuu ya Marekani imesimama.
Akizungumza na Kituo cha Habari cha Ufaransa (AFP), Drogba amesema taarifa hizo siyo sahihi kuwa atajiunga kwa muda...
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
WizKid Kijana nyota wa Nigeria
9 years ago
Bongo502 Nov
Tazama picha za Halloween za mastaa wa Marekani, zifahamu pia sherehe hizo zina maana gani
![Alicia Keys na Sw](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/Alicia-Keys-na-Sw-94x94.jpg)
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Nyota watatu kuiua Nigeria watajwa
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Miguu ya nyota wa Nigeria, Ghana ilivyoongea Brazil
BAADA ya Cameroon kuanza vibaya faina za Kombe la Dunia 2014 kuchapwa bao 1-0 ilipoumana na Mexico katika siku ya pili ya fainali hizo, hofu ilitanda mioyoni mwa Waafrika wengi,...
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
Nyota mwingine wa Nigeria ajitoa Super Eagles
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CaBTeWbQKlM/XphABBMi-KI/AAAAAAALnJ4/kCg1BZ7Y-noBDdFkrQ45WglBBrgHraddgCLcBGAsYHQ/s72-c/29229496-9983-49eb-8c08-180542859934.jpg)
KIGOGO BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA AMBAYE NI RAIA WA NIGERIA ANASWA JIJINI DAR, WAMO PIA WATANZANIA WAWILI...
![](https://1.bp.blogspot.com/-CaBTeWbQKlM/XphABBMi-KI/AAAAAAALnJ4/kCg1BZ7Y-noBDdFkrQ45WglBBrgHraddgCLcBGAsYHQ/s640/29229496-9983-49eb-8c08-180542859934.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-1QW2hjy0Wbk/XphAB0QuDNI/AAAAAAALnKA/ULe5CkKqn60nEwrb-rXcuLG4SiEecWe_QCLcBGAsYHQ/s640/85036a40-6c14-426e-bcbd-9713b9c07805.jpg)
Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya wakiwa chini ya ulinzi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kuwanasa jijini Dar es Salaam.
![](https://1.bp.blogspot.com/-il6JBypXrMc/XphABWgQ4rI/AAAAAAALnJ8/AFkssFUMb7IcE8tfwQ-6yHcgvBi1rL_8gCLcBGAsYHQ/s640/ad35ca83-39ef-4e13-bb84-eb573b11fdb3.jpg)
Na Ripota Wetu,Michuzi TV
MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana...
10 years ago
Dewji Blog26 May
PSPF ya ungana na wanawake wajasiriamali katika hafla ya kuendeleza umoja wa wajasiriamali Dar
Meneja msaidizi wa uchangiaji wa hiari Matilda Nyallu wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) akieleza namna ya mfuko wa Hiari unavyo kuwa na nijinsi gani utafaidika pindi unapo jiunga na kuwa mmoja wa wadau wa (PSPF).
Kushoto Muandaaji wa sherehe ya wanawake wajasiriamali Shamimu Mwasha ambaye ni mdau wa (PSPF) akitoa ufafanuzi wa sherehe hiyo na kuwakaribisha wageni walioweza kuhudhuriapembeni ni mshereheshaji wa sherehe hiyo Jokate Mwegelo.
Afisa wa mfuko wa pensheni wa (PSPF) kushoto Hadji...