Nyumba ya ‘mlawiti’yateketezwa
>Wananchi wenye hasira, wameteketeza kwa moto nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Mwika Uuwo, Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu kulawiti wanaume wenzake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzinyumba, magari mawili yateketezwa kwa moto katika vurugu eneo la Olasiti jijini Arusha leo
10 years ago
VijimamboMAGARI TISA YATEKETEZWA KWA MOTO, NYUMBA 16 ZATIWA MOTO MGOGORO WA ENEO LA MALISHO SIHA
10 years ago
Habarileo06 Feb
Chumvi yateketezwa
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeteketeza tani moja na nusu ya chumvi ya Sea Salt, inayozalishwa na Kampuni ya Sea Salt Food Limited ya Bagamoyo mkoani Pwani, kutokana na kuwa chini ya kiwango cha ubora kinachotakiwa.
10 years ago
Habarileo10 Nov
Mahakama ya Mwanzo yateketezwa
MAHAKAMA ya Mwanzo ya Riagoro wilayani Rorya mkoani Mara, imechomwa moto na watu wasiojulikana na mali na nyaraka mbalimbali zilizokuwao, zimeteketea.
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Mashamba ya bangi yateketezwa Moro
OPERESHENI maalumu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kutokomeza mashamba ya bangi imefanyika na kufanikiwa kuwakamata watu wanne wamiliki wa mashamba hayo katika Wilaya za Kilosa, Mvomero na Morogoro....
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Makanisa matatu yateketezwa Tanzania
9 years ago
StarTV01 Oct
Misumeno ya moto 45 yateketezwa Zanzibar
Jumla ya misumeno ya moto 45 inayosadikiwa kuangamiza kwa kiasi kikubwa misitu ya asili visiwani Zanzibar imeteketezwa kwa moto visiwani Zanzibar baada ya kubainika kuwa wamiliki wake wanaitumia kinyume na taratibu zilizopo.
Kutokana na hali hiyo Serikali ya Zanzibar imezindua sheria mpya ya kudhibiti matumizi ya misumeno hiyo inayopiga marufuku mtu yeyote kumiliki ama kuingiza nchini aina ya misumeno hiyo bila ya kibali maalum kwa mamlaka husika lengo likiwa kunusuru uharibifu mkubwa wa...
10 years ago
Habarileo30 Oct
Makazi ya watuhumiwa wizi wa mifugo yateketezwa
WATU wasiojulikana wamevamia na kuchoma zaidi ya nyumba 10 za watuhumiwa watano wa wizi wa mifugo na wengine wanaojihusisha na migogoro ya ardhi wilaya ya Rorya mkoani Mara.
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Shirika la Nyumba NHC lazindua uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 Kawe
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu Kyando akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 uliopo Kawe jijini Dar es salaam, Nyumba hizi ziko kwenye majengo 7 yenye ghorofa 11 kila moja ambayo yanatarajiwa kuchukua watu 1000 kwa na huu ni utangulizi wa ujenzi wa mji mpya wa kisasa unaotarajiwa kujengwa eneo la Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam ambao ukikamilika utaweza kuchukua watu 15000.
Watu wanaohitaji kununua...