Misumeno ya moto 45 yateketezwa Zanzibar
Jumla ya misumeno ya moto 45 inayosadikiwa kuangamiza kwa kiasi kikubwa misitu ya asili visiwani Zanzibar imeteketezwa kwa moto visiwani Zanzibar baada ya kubainika kuwa wamiliki wake wanaitumia kinyume na taratibu zilizopo.
Kutokana na hali hiyo Serikali ya Zanzibar imezindua sheria mpya ya kudhibiti matumizi ya misumeno hiyo inayopiga marufuku mtu yeyote kumiliki ama kuingiza nchini aina ya misumeno hiyo bila ya kibali maalum kwa mamlaka husika lengo likiwa kunusuru uharibifu mkubwa wa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAGARI TISA YATEKETEZWA KWA MOTO, NYUMBA 16 ZATIWA MOTO MGOGORO WA ENEO LA MALISHO SIHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-sDCRRixujJY/VGhk9zmlUXI/AAAAAAAAvsY/9rDoqXLpllo/s640/jones_1.jpg)
9 years ago
VijimamboUzinduzi wa kanuni ya kudhibiti matumizi ya misumeno ya moto
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-3PdmSE80Aj8/VQ1ToKcnMTI/AAAAAAAHL4U/yuHPDnEjACc/s72-c/unnamed.jpg)
nyumba, magari mawili yateketezwa kwa moto katika vurugu eneo la Olasiti jijini Arusha leo
10 years ago
Habarileo06 Feb
Chumvi yateketezwa
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limeteketeza tani moja na nusu ya chumvi ya Sea Salt, inayozalishwa na Kampuni ya Sea Salt Food Limited ya Bagamoyo mkoani Pwani, kutokana na kuwa chini ya kiwango cha ubora kinachotakiwa.
10 years ago
Habarileo10 Nov
Mahakama ya Mwanzo yateketezwa
MAHAKAMA ya Mwanzo ya Riagoro wilayani Rorya mkoani Mara, imechomwa moto na watu wasiojulikana na mali na nyaraka mbalimbali zilizokuwao, zimeteketea.
11 years ago
Mwananchi09 Aug
Nyumba ya ‘mlawiti’yateketezwa
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Mashamba ya bangi yateketezwa Moro
OPERESHENI maalumu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kutokomeza mashamba ya bangi imefanyika na kufanikiwa kuwakamata watu wanne wamiliki wa mashamba hayo katika Wilaya za Kilosa, Mvomero na Morogoro....
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Makanisa matatu yateketezwa Tanzania
10 years ago
Habarileo30 Oct
Makazi ya watuhumiwa wizi wa mifugo yateketezwa
WATU wasiojulikana wamevamia na kuchoma zaidi ya nyumba 10 za watuhumiwa watano wa wizi wa mifugo na wengine wanaojihusisha na migogoro ya ardhi wilaya ya Rorya mkoani Mara.