Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyumba iliyouzwa na NMB yauzwa tena

HALI ya sitofahamu imeibuka baada ya Benki ya Uchumi ya mjini hapa kuuza shamba na nyumba  eneo la Mdawi Komfuru, Wilaya ya Moshi Vijijini, ambayo mwaka jana ilikwishauzwa na Benki...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nyumba ya mwandishi wa Nyerere yauzwa kinyemela

>Nyumba ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Mwalimu Julius Nyerere, Paul Sozigwa imeuzwa katika mazingira ya kutatanisha na mke wake Monica Kuga baada ya mwanahabari huyo kupata maradhi ya kupoteza kumbukumbu.

 

10 years ago

Michuzi

Sasa NMB kuwafikia wateja wake Mpaka Vijijini kupitia NMB Wakala

Banki ya NMB imeingia makubaliano na kampuni ya Maxcom kupitia mtandao wa mawakala wanaojulikana kama Max Malipo kwaajili ya kuanza kutoa huduma za kibenki. HUduma hii itakuwa inaitwa NMB Wakala na itakuwepo kwenye kila wakala wa MaxMalipo waliotapakaa nchi nzima.
Kuingia kwa MaxCom kwenye benki ya NMB kunamaanisha kuwa NMB itazidi kupanua Zaidi mtandao wao kwa kuingia hadi vijijini tofauti na benki zingine. Kupitia mawakala wa MaxCom, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka fedha kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

Asilimia 80 ya tanzanite nchini yauzwa kinyemela

Paul MasanjaSERIKALI imesema asilimia 80 ya madini adimu duniani ya tanzanite, yanayochimbwa nchini pekee katika mji wa Mirerani wilayani Simanjiro, Manyara yanauzwa nje ya nchi kwa `njia ya panya’.

 

10 years ago

Habarileo

Ndoo ya maji Kimara yauzwa 1,000/-

WAKAZI wa Kimara jijini Dar es Salaam wanaendelea kununua ndoo ya majisafi kwa Sh 1,000 na maji hayo hayapatikani kwa urahisi.

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI NA WANACHAMA WA NMB BUSINESS CLUBS JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa NMB Business Club Kanda ya Temeke Bw. Ezekiel Matimo Gutti akiongea  machache  kuhusu  NMB Business Club Wilaya  ya Temeke  tangu kuanzishwa  kwake.

 Mtoa mada kuhusu kodi kutoka kampuni ya ‘Tanscott Taxation Service Ltd’ Bw. Hirji Abdallah akielezea kuhusu ulipaji wa kodi wakati wa semina ya wajasiriamali iliyondaliwa na benki ya NMB .Semina hiyo ulihudhuriwa na wanachama zaidi ya 400 wa NMB Business Club kutoka Wilaya ya Kinondoni, Ilala na Temeke hivi karibuni jijini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Barua ya Mao Zedong yauzwa $918,000

Barua iliyoandikwa na kiongozi wa chama cha Kikomunisti cha Uchina Mao Zedong 1937 imeuzwa £605,000 ($918,000) kwenye mnada.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sanamu ya paka yauzwa kwa dola 80,000

Sanamu moja ya paka wa Misri,ambayo nusra itupiliwe mbali kama taka,imeuzwa nchini Uingereza kwa takriban dola 80,000.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nywele ya Lincoln yauzwa kwa dola 25,000

Vitu vya aliyekuwa rais wa 16 wa Marekani Abraham Lincoln vimeuzwa katika mnada Marekani na kupata dola 800,000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani