Obama atafuta usaidizi kutoka Iran
Gazeti la Marekani limeripoti kuwa rais Obama alimuandikia barua ya siri kiongozi mkuu wa dini nchini Iran,kujadili IS
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Jul
Obama:Maafikiano na Iran yataleta amani
Rais Barrack Obama wa Marekani, ameshinikiza kuwa muafaka ulioafikiwa siku ya Jumanne kuhusu mpango wa nuklia wa Iran, umetoa fursa ya kipekee maishani ya kutaka kuwepo kwa mahala salama pa kuishi, ulimwenguni.
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Hisia kutoka Marekani na Iran
Baada kutangazwa muafaka baina ya Iran na mataifa 6 yenye nguvu zaidi duniani Rais Obama na Rouhani wametoa hisia zao
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
IMF yasema Nigeria haihitaji usaidizi
Mkuu wa IMF amesema Nigeria kwa sasa haihitaji usaidizi wowote wa kifedha licha ya uchumi wake kuathirika na kushuka kwa bei ya mafuta duniani.
10 years ago
BBCSwahili01 May
Mamlaka ya Nepal yaomba usaidizi zaidi
Mamlaka ya Nepal imeomba msaada zaidi wa helikopta kutoka kwa mataifa ya kigeni
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Obama aing'oa Burundi kutoka kwenye AGOA
Marekani imeiondoa Burundi kutoka kwenye mikataba yake ya kibiashara AGOA iliyowezesha mataifa ya Afrika kuingiza bidhaa zao katika soko la Marekani bila kulipa kodi.
9 years ago
Mwananchi27 Dec
KUTOKA LONDON : Rais Obama alivyokwenda vichakani na mwingereza mpenda pori maarufu
 Miezi michache iliyopita niliandika habari za Mwingereza maarufu Ewdard “Bear†Grylls. Jamaa huyu mwenye miaka 41 alikuwa askari wa kikosi maalumu, kinachofanya mashambulizi ya siri wakati mgumu, vitani. Sasa vikosi kama hivi (ambavyo huwa vya wapiganaji wachache tu) vinatumika kushambulia magaidi wa Uarabuni wanaokata kata vichwa na kuua wanawake, vilema, watoto na wazee. Neno jingine kuwaeleza laweza kuwa “komando†kwa Kiswahili cha kukopa ..Au “ninja.â€
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Binti atafuta mume redioni
Kituo kimoja cha redio kilifurika mamia ya wanaumme ,baada ya msichana mmoja kutangaza kutaka anayetaka kumua ajitokeze
11 years ago
Michuzi11 Jul
11 years ago
Habarileo31 Mar
Msajili atafuta muarobaini ghasia uchaguzi mdogo
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini inatafuta njia ya kudhibiti vurugu zinazojitokeza katika uchaguzi mdogo nchini. Hatua hiyo inatokana na kile walichobaini kuwa vurugu hizo hazipaswi kuwepo hasa, ikizingatiwa kuwa Tanzania ni nchi ya amani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania