Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama na mpango wake kuwashambulia IS

Rais Barack Obama
Rais Barack Obama ameliomba baraza la Congress kupitisha mpango wa amiaka mitatu wa mashambulizi dhidi ya kundi la wapiganaji wa Kiislam la Islamic State ambalo linashikilia baadhi ya maeneo nchini Iraq. Mpango huo wa Marekani dhidi ya wapiganaji wa IS unahusisha vikosi vya mashambulizi ya ardhini katika jitihada za kutokomeza kundi hilo la kigaidi. Hata hivyo Rais Obama amesema kuwa si kwamba anaomba idhini ya kufanya mashambulizi hayo kwani kwa mjibu wa mamlaka yake hakuna...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Makonda atangaza mpango kazi wake

Paul MakondaMKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameweka wazi mpango kazi wake baada ya kukaa ofisini kwa siku tatu tangu kuapishwa kushika wadhifa huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Iraq yapanga kuwashambulia IS

Majeshi ya Iraq na Wakurd yanapanga kuutwaa mji wa Mosul kwa kuwashambulia wapiganaji wa IS wanaouudhibiti mji huo.

 

9 years ago

Bongo5

Ruby aeleza mpango wake wa kuachia album

Hit-maker wa ‘Na Yule’ Ruby amesema anajipanga kuachia album yake mpya huku akiwa anajiamini kuwa atafanikiwa kuiuza licha ya kuwepo kwa changamoto ya masoko. Ruby ameambia E-newz ya EATV kuwa anaamini kuuzika ama kutokuuzika kwa album kunatokana na uzuri wa kazi na jinsi msanii anavyoitengeneza. “Album yangu inakuja soon,” alisema. Mimi naamini album inauza kutokana […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Bibi wa Obama amtaka mjukuu wake, Kogelo

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umesema Rais Barack Obama hatatembelea kijiji alichozaliwa baba yake, wakati wa ziara yake.

 

10 years ago

GPL

YEMI AELEZA SABABU YA KUWASHAMBULIA WAANDAJI WA TUZO ZA BET

Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Yemi Alade. Lagos Nigeria BAADA ya mwimbaji maarufu wa Nigeria, Yemi Alade, maarufu kama  Jonny Crooner kutokana na wimbo wake, kushindwa katika mpambano wa Tuzo za BET nchini Marekani, amewashambulia waandaji wa mashindano hayo kwamba hawakuwafanyia haki waimbaji kutoka Afrika. “Kusema ukweli Waafrika hatutendewi haki kama wenzetu kutoka mabara mengine,” alisema mwimbaji huyo mrembo...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAENDELEA NA MPANGO WAKE WA KUPELEKA MADAKTARI BINGWA KATIKA MIKOA YA PEMBEZONI

1 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Bi. Fatma Ali akizungumza na wananchi kabla ya kuzindua mpango wa kupeleka madaktari Bingwa katika mikoa ya pembezoni ili kuwapunguzia wananchi mzigo wa kusafiri umbali mrefu kwenda kufuata huduma hizo katika hospitali kubwa, 22. Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bwana Raphael Mwamoto, akitoa maelezo kuhusu mpango wa Madaktari Bingwa wanaopelekwa mikoani na Mfuko huo. 3Baadhi ya wakazi wa Mtwara wakisubiri huduma za madaktari...

 

5 years ago

Michuzi

GAVANA APINGWA JUU YA MPANGO WAKE WA KUTUMIA POMBE KAMA KITAKASA KOO


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
LICHA ya Shirika la Afya Duniani kusema wazi kuwa pombe haiwezi kupigana dhidi ya virusi vya Corona (Covid-19) na kuwashauri watu wapunguze matumizi yake Gavana wa Mji mkuu wa Nairobi, nchini Kenya Mike Sonko kupitia mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika mapema jumanne valithibitisha matumizi ya pombe katika Kupambana na virusi hivyo kwa kile alichoeleza kuwa pombe aina ya Hennessy ni kitakasa koo "throat sanitizer." CNN imeripoti.
Sonko ...

 

9 years ago

Vijimambo

PAPA FRANCIS AWASILI WASHINGTON, DC ALAKIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS BARACK OBAMA

Rais Barack Obama na familia yake wakielekea uwanjani kwenda kumlaki Papa Francis aliyewasili siku ya Jumanne Septemba 22, 2015 nchini Marekani kwa ziara ya siku nne.Papa Francis na ujumbe wake wakishuka kutoka kwenye ndege iliyomleta Washington, DC uwanja wa ndege wa jeshi wa AFB kwa ziara ya siku nne nchini Marekani.Papa Francis akilakiwa na mwenyeji wake Rais Barack Obama mara tu alipokanyaga ardhi ya Marekani.Papa Francis akisalimiana na Michelle Obama mke wa Rais wa Marekani Mhe. Barack...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani