Iraq yapanga kuwashambulia IS
Majeshi ya Iraq na Wakurd yanapanga kuutwaa mji wa Mosul kwa kuwashambulia wapiganaji wa IS wanaouudhibiti mji huo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 Feb
Obama na mpango wake kuwashambulia IS
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2015/02/11/150211071248_obama_512x288_epa.jpg)
Rais Barack Obama ameliomba baraza la Congress kupitisha mpango wa amiaka mitatu wa mashambulizi dhidi ya kundi la wapiganaji wa Kiislam la Islamic State ambalo linashikilia baadhi ya maeneo nchini Iraq. Mpango huo wa Marekani dhidi ya wapiganaji wa IS unahusisha vikosi vya mashambulizi ya ardhini katika jitihada za kutokomeza kundi hilo la kigaidi. Hata hivyo Rais Obama amesema kuwa si kwamba anaomba idhini ya kufanya mashambulizi hayo kwani kwa mjibu wa mamlaka yake hakuna...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zvxMwCoWaarbwCuiUK8fyZp-PYA-C9hplaWi8G*25ZM76xhZnYu5ekPSeFqCKZVo0sRYpjTffQMUy2galGMjr08vfYapTAqm/yemi.jpg?width=650)
YEMI AELEZA SABABU YA KUWASHAMBULIA WAANDAJI WA TUZO ZA BET
Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Yemi Alade. Lagos Nigeria BAADA ya mwimbaji maarufu wa Nigeria, Yemi Alade, maarufu kama Jonny Crooner kutokana na wimbo wake, kushindwa katika mpambano wa Tuzo za BET nchini Marekani, amewashambulia waandaji wa mashindano hayo kwamba hawakuwafanyia haki waimbaji kutoka Afrika. “Kusema ukweli Waafrika hatutendewi haki kama wenzetu kutoka mabara mengine,†alisema mwimbaji huyo mrembo...
10 years ago
GPLBUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA VURUGU KUHUSU POLISI KUWASHAMBULIA WAFUASI WA CUF
Mbunge wa NCCR–Mageuzi, James Mbatia. Baada ya James Francis Mbatia kuleta hoja ya dharura juu nguvu iliyotumiwa na polisi dhidi ya maandamano ya CUF jana, ili ijadiliwe na wabunge kama hoja ya dharura, Spika Makinda aliamuru serikali ilete majibu kesho ndipo ijadiliwe.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, akiongozwa na mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge. Wabunge walisimama kushinikiza hoja ijadiliwe lakini...
10 years ago
BBCSwahili07 Aug
Nigeria yapanga kuunda silaha zake
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameiamuru wizara ya ulinzi kujenga uwezo wa taifa hilo kujitengenezea silaha zake
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
ECOWAS yapanga kupiga marufuku mtandio
Nchi wanachama wa ECOWAS zinasema mtandio wa hadi usoni umekua ukitumiwa na wanawake wanaojitoa mhanga
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Bawacha yapanga kumuona Kikwete kwa maandamano
>Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) limetangaza maandamano kwenda Ikulu kumuomba Rais Jakaya Kikwete asikubali kutia saini Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iwapo itapitishwa na Bunge.
11 years ago
Bongo505 Aug
Sony Pictures yapanga kuja na filamu ya Spider-Woman
Kampuni ya Sony Pictures imepanga kuanza kutumia waigizaji wa kike katika filamu ya Spider Man, yaani kupata Spider- Woman. Filamu hiyo ya Spider- Woman itatoka mapema mwaka 2017. Filamu mpya ya Spider-Man inatarajiwa kutoka Nov. 11, 2016. Katika filamu hiyo maadui wote waliowahi kuigiza kwenye filamu hiyo wataungana kwa pamoja kwenda kuliteketeza jiji la New […]
10 years ago
MichuziSimba yapanga kumpa gari mchezaji bora wa timu hiyo
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, Rais wa Simba Evans Aveva alisema kuwa chini ya uongozi wake wameanzisha tuzo hizo kwa wachezaji wa Simba ili kuibua morali ya wachezaji na kuthamini mchango wao na hiyo imekuja baada ya klabu hiyo ya wekundu wa Msimbazi kuingia mkataba wa miaka mitano na Kampuni ya EAG ambao watakuwa na jukumu la...
10 years ago
GPLMANISPAA YA ILALA YAPANGA UBORESHAJI WA UKUSANYAJI WA MAPATO YATOKANAYO NA VYANZO VYAKE
Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu (wa pili kushoto) akizungumza jambo katika tamko hilo, Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa Ilala (wa kwanza kushoto) pamoja na viongozi wengine. Wanahabari wakichukua tukio.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania