OCTOPIZZO aachia nyingine ‘Jump PYDU’
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Msanii mwenye kupiga ‘bling bling’ ambaye pia ni balozi wa Vijana nchini Kenya, OCTOPIZZO ameachia wimbo wake mpya huo wa ‘Jump PYDU’ kupitia mtandao wa iTunes na YouTube.
Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa twitter, OCTOPIZZO alitumia wasaha huo kuwatambulisha wafuasi wake ‘fans’ wake juu ya wimbo wake huo.
Unaweza kuona kazi hiyo mpya ya OCTOPIZZO hapa chini:
BANGING HOT: Octopizzo Proves That He Is The King Of 25flow New Video! – News |...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
OCTOPIZZO aachia nyingine ‘Jump PYDU’ iko humu
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Msanii mwenye kupiga ‘bling bling’ ambaye pia ni balozi wa Vijana nchini Kenya, OCTOPIZZO ameachia wimbo wake mpya huo wa ‘Jump PYDU’ kupitia mtandao wa iTunes na YouTube.
Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa twitter, OCTOPIZZO alitumia wasaha huo kuwatambulisha wafuasi wake ‘fans’ wake juu ya wimbo wake huo.
Unaweza kuona kazi hiyo mpya ya OCTOPIZZO hapa chini:
BANGING HOT: Octopizzo Proves That He Is The King Of 25flow New Video! – News |...
9 years ago
Bongo525 Aug
Video: Octopizzo aachia video ya wimbo aliomshirikisha staa wa Marekani, August Alsina
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Chege aachia ‘Chapa Nyingine’
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Saidi Juma ‘Chege’, ameachia ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Chapa Nyingine’. Akizungumza jijini Dar es...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Chris Brown Aachia Ngoma Mpya Nyingine – Little More
Cover ya album mpya ‘Royalty’ ya Chris Brown
BAADA ya kuachia ngoma zake mfululizo, staa wa muziki wa Pop, Chris Brown ameendeleza mfululizo wake kwa kutoa ngoma mpya ijulikanayo kama Little More ambayo itapatikana kwenye albamu yake mpya ya Royalty atakayoiachia kesho Ijumaa Desemba 18.
Ngoma zake nyingine zilizotangulia kutoka kwenye albamu hiyo ni Zero, Fine By Me, Back to Sleep, Anyway aliyomshirikisha Tayla Parxy pamoja na Wrist aliyomshirikisha Solo Lucci.
Imeandaliwa na Andrew...
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
DJ Kflip aachia mixtape nyingine kwa youtube isikilize kwa mara ya kwanza hapa
Breakfast mix is a radio show mixed by DJ K FLIP Every Monday to Friday 7am to 10am (EAT)… Download JEMBE FM APP on GOOGLE PLAYSTORE to listen worldwide.
Akizungumza na Gsengo Blog DJ huyo anayepiga mzigo ndani ya moja ya Hottest radio station inayo kuja kwa kasi toka pande za Rock City, amesema kuwa huo ni mwanzo wa mpango wake wa kuachia Mix Tape kila wiki kupitia Youtube na rasmi ameanza kufanya hivyo wiki hii (leo) yenye historia kwa taifa la Tanzania ambapo taifa linashuhudia...
11 years ago
Bongo511 Aug
New Video: Octopizzo f/ M.I — Salute Me
11 years ago
TheCitizen23 Mar
To get to my bedroom, I have to jump over legs
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Octopizzo anayetetea vijana Kenya
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Octopizzo nyota wa Hip Hop Kenya