Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okoa hela ya matangazo ya karatasi, pata tovuti ya .tz na tzNIC!

Maranyingi wafanya biashara hufikiria kutangaza biashara zao magazetini, kwenye mabango, vipeperushi na kadhalika. Wafanyabiashra huamini kwamba njia hizi hufikia watu wengi. Je ni kweli kwamba matangazo ya karatasi hufikia walengwa wengi? Kama mfanyabiashara na mtangazaji, unajuaje kuwa tangazo lako limefikia walengwa wangapi na kwa wakati gani?Kwa kutumia tovuti, unaweza kujua ni watu wangapi wanao tembelea tovuti yako, na wanatembelea kwa muda gani. Kwa kujua ni watu wangapi wanaotembelea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Tovuti ya Matangazo ya Biashara

Bongofree is offering free posting classifieds ads based in Tanzania. Site is built with modest technology with user usability in mind. It's quick and easy to post ads. It's very powerful mobile friendly website. You can post almost everything for sale or hire such as Jobs, Property, Vehicles, Electronics Items, Personal Items, Services, Business Listing, etc.. The website is responsive and enable users to view & post ads from mobile devices! It also attract a lot of visitors every day....

 

10 years ago

Vijimambo

Okoa Pesa, Okoa Muda, Nunua na Kuuza bidha Tumia Simplexpoint.com

Dear Diaspora,
Are you faced with the following problems; frustration with the misuse of funds back home to your family and friends, higher cost of sending funds frequently as a result depleting your savings?


We have a solution for your problems. Introducing Simplex Point a Vancouver Canada based e-commerce Company that provides consumer-to consumer, business-to-consumer and business-to-business sales services via a web portal; with operations in Tanzania, Kenya and Cameroon.


Through our web...

 

10 years ago

Dewji Blog

Now you can be a domain registrar with tzNIC!

tzNIC-mac

TzNIC has been carrying accreditation processes whereby capable companies are carefully screened and once approved (accredited) are given the opportunity of registering domains on behalf of tzNIC.  tzNIC has always encouraged clients to register their domains through the accredited registrars. To date May 2015 there are about 43 accredited registrars. The requirements for accredited registrar are; legal registration or incorporation of the organization with a permanent physical address in...

 

10 years ago

Michuzi

Sasa Leo Twende Kitaaluma Kidogo na tzNIC



Umesha jiulizaga kwanini kuna .co, .or, .go, .ac, nakadhalika. Katika Domain Name System (DNS) yani mfumo wa domain kuna ngazi tofauti. Leo nataka tuongelee SLD yani Second Level Domain au ngazi ya pili ya domain ambayo hii iko punde tuu baada ya Top Level Domain (TLD). 
Mfano .co katika .co.tz ni SLD wakati .tz ni TLD (Top Level Domain).  Kwa kawaida Second Level Domain (SLD) huwa ina tambulisha shirika (organization) linalo sajili hio domain liko katika mfumo gani au ni la aina gani.  Kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

UMA yazindua operesheni okoa mazingira

ASASI ya Uhai Mazingira (UMA) yenye makao yake makuu wilayani Sikonge, Tabora imeanzisha operesheni maalumu itakayosaidia kuokoa uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji. Mkurugenzi mtendaji wa asasi hiyo, Athega...

 

11 years ago

Michuzi

Okoa gharama na muda wa ujenzi wa nyumba yako

Wakati Watanzania, katika miaka ya karibuni wamekuwa wakijitahidi kuboresha maisha yao hususan katika suala zima la ujenzi wa nyumba zilizo bora na za kisasa, upande wa pili wa harakati hizi umekuwa ni wa changamoto nyingi ambazo zimekuwa zikiwakabili wananchi katika kuzifikia ndoto zao hizo, hasa kwa upande wa gharama za vifaa vya kufanikisha ujenzi huo, lakini pale ambapo wameweza kujitahidi kuweza kufikia gharama hizo,
Katikati ya sintofahamu hii, kumekuwa na Watanzania ambao wamekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani