OKWI ALIVYORUDI RASMI SIMBA SC
![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPi4FotMzRMtQfTVsFjjoOOuGSp4mQ1IeF8wlslh2MZU6jMPVnkkZvdo8iqGyy2GCwrGGRxhJVodrvzynMAC1TCN/OKWI.jpg?width=650)
Emmanuel Okwi akitambulishwa kwa wanahabari na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope. MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope, jana jioni alimtambulisha rasmi Emmanuel Okwi kuwa mchezaji wao mpya. Okwi ametua Simba akitokea kwa watani wao wa jadi, Yanga kutokana na makubaliano maalum baada ya kufunguliwa kesi kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) na Yanga kwa madai ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPhTMPsWclG0VY9MNG4ooTZ2w-DfET*R7g9YxoM4bF7avOPM1iGihiuFP0qOO8XEqD9GeyfVIR9dJTkrbYAVIb6L/okwi.jpg)
Okwi rasmi Simba
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
Simba kumuuza Okwi
KUNA uwezekano mkubwa kwa Klabu ya Simba kumuuza tena mashambuliaji wake Emmanuel Okwi kama atafuzu majaribio yake anayotarajia kuanza kesho katika klabu ya Sonderjyske inayoshiriki kwenye Ligi ya Danish Superliga, Denmark.
Simba iliwahi kumuuza Okwi katika timu ya Etoile du Sahel ya Tunisia, lakini alikaa kwa miezi sita kabla ya kurejea timu ya Sports Club Villa ya Uganda ambao nao walimuuza klabu ya Yanga na mwisho kutua tena Simba.
Okwi atakuwa ni mchezaji wa pili kwenda kwenye...
10 years ago
Mwananchi29 Aug
Okwi arejea Simba
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Simba kumrudisha Okwi
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Okwi awavuruga Simba
10 years ago
Vijimambo22 Jul
Okwi kurejea Simba.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Okwi-22July2015.jpg)
Utata huo mpya umefuatia Wadenmark hao kutaka kumrejesha Okwi Simba kwa mkopo wa miezi sita baada ya kukwama kuipata leseni yake ya uhamisho ya kimataifa (ITC), ambayo Simba imesema haitaitoa...
11 years ago
GPL10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Okwi awagawa wachezaji Simba
BAADHI ya wachezaji wa Simba wameutaka uongozi kuwachukulia hatua wachezaji wenzao kwa utovu wa nidhamu akiwemo nyota wa kimataifa, Mganda Emmanuel Okwi, badala ya kuwaonea baadhi yao. Kauli ya nyota...