Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi: Simba SC imenipa magari sita

Okwi huyo akiondoka! Shakoor Jongo na Musa Mateja
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Emmanuel Okwi, kwa sasa yupo nchini Uganda, aliondoka juzi Jumatano na kuzungumza na Gazeti la Championi Ijumaa pekee huku akiitaja Simba. Okwi ambaye aligoma kucheza mechi za mwishoni mwa Ligi Kuu Bara, msimu uliomalizika hivi karibuni kutokana na kile kilichoelezwa kuwa alikuwa hajamaliziwa malipo ya usajili wake, amefunguka kuwa Simba ndiyo ambayo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Matalena: Netiboli imenipa kazi, nyumba, magari

“Vitu hivi ni mafanikio tosha kwangu kwani bila ya kuwa na kipaji cha kucheza netiboli sijui leo ningekuwa wapi kwani licha ya kazi niliyonayo kuniwezesha kuishi mjini, pia najivunia vitu hivyo nilivyonavyo,” anasema Matalena ambaye ni mtoto wa nne kuzaliwa kati ya wanane kwenye familia yao.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Ajali ya magari manne yaua sita Dar

NA MWANDISHI WETU

WATU sita wamefariki dunia mjini Dar es Salaam na wengine 12 kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha magari manne.
Ajali hiyo ambayo ilitokea saa 7:30 mchana, ilihusisha daladala mbili, lori na gari dogo aina ya Land Rover Discover ambapo ilitokea katika eneo la Lugalo njiapanda.
Mashuhuda wa ajali hiyo walisema, ajali hiyo ilisababishwa na daladala lililokuwa likitoka Ubungo kwenda Tegeta lenye namba za usajili T 441 CKT ambalo lilihama njia na kupanda tuta kisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi awavuruga Simba

Mamia ya mashabiki wa Simba jana walikusanyika makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam wakitaka kujua ukweli kuhusu uhamisho wa Emmanuel Okwi kwenda Yanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi arejea Simba

Uongozi wa Simba umemrudisha kundini mshambuliaji wake wa zamani, Emmanuel Okwi ukisema umechukua hatua hiyo: “Kumsitiri ili asipoteze kipaji chake” baada ya watani wake wa jadi Yanga, kumshtaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

10 years ago

GPL

Okwi rasmi Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope,akimtambulisha Emmanuel Okwi. Stori: Hans Mloli, Sweetbert Lukonge na Julieth Patrick
“WHAT goes around comes around!” hiyo ni kauli ambayo alianza kuitoa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope, jana jioni wakati akimtambulisha Emmanuel Okwi kuwa mchezaji wao mpya, ambapo ujumbe huo aliupeleka moja kwa moja kwa wapinzani wao wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba kumrudisha Okwi

Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likisogeza muda wa usajili, Yanga inahaha kufanya uamuzi wa kuondoa mmoja kati ya wachezaji wawili Waganda, huku Simba ikikaribia kumalizana na beki kutoka Lipuli na kumrejesha Emmanuel Okwi.

 

10 years ago

Vijimambo

Okwi kurejea Simba.

Mshambuliaji Emmanuel Okwi ambaye uhamisho wake daima umekuwa ukizungukwa na maswali kila aendako, ameingia katika utata mwingine baada ya ripoti mpya kudai kwamba alisaini mkataba wa miaka mitano wa kuichezea timu ya SønderjyskE licha ya timu hiyo ya Denmark kutotoa hata senti kwa klabu yake ya Simba.

Utata huo mpya umefuatia Wadenmark hao kutaka kumrejesha Okwi Simba kwa mkopo wa miezi sita baada ya kukwama kuipata leseni yake ya uhamisho ya kimataifa (ITC), ambayo Simba imesema haitaitoa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Simba kumuuza Okwi

KUNA uwezekano mkubwa kwa Klabu ya Simba kumuuza tena mashambuliaji wake Emmanuel Okwi kama atafuzu majaribio yake anayotarajia kuanza kesho katika klabu ya Sonderjyske inayoshiriki kwenye Ligi ya Danish Superliga, Denmark.

Simba iliwahi kumuuza Okwi katika timu ya Etoile du Sahel ya Tunisia, lakini alikaa kwa miezi sita kabla ya kurejea timu ya Sports Club Villa ya Uganda ambao nao walimuuza klabu ya Yanga na mwisho kutua tena Simba.

Okwi atakuwa ni mchezaji wa pili kwenda kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani