Omog kutua na kifaa kipya
![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNQkx*9MME-1WieycDVhWSnjOpGk1WuvqyBLzidKnsPMLRMe2cgClbGZ93OHgs13FpRt6oz41rOeSLuGntVvq94J/OMG.gif?width=650)
Kocha wa Azam FC Joseph Omog. Na Mwandishi Wetu AKIWA katika harakati za kutaka kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao, bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Azam, anatarajiwa kuongeza straika mmoja kutoka Cameroon ambaye atatua nchini pamoja na kocha Joseph Omog wiki ijayo kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Brian Umony. Klabu hiyo mpaka sasa imefanikiwa kusajili wachezaji wawili wa kulipwa ambao ni Ismaila Diara kutoka Mali na Didier...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Jan
Skylight Band yaibua kifaa kipya mithili ya Kasuku si mwingine ni Ashura Kitenge, njoo leo umshuhudie LIVE Thai Village
Mratibu wa Skylight Band, Lubea akimkaribisha mdau wa bendi hiyo Miryam Kamaliza shot ya Tequila wakati wa show iliyobamba wakazi wa Dar Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki.
Mratibu wa Skylight Band, Lubea akimimina kinywaji cha Tequila kwa Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village.
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akipiga kilaji cha Tequila kupasha mwili joto kabla ya kupanda jukwaani, kinywaji hicho ni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W2uGJkyZU4JZvhFvTMmxvuKI7FqW25bYwXOml2TDGSIY9ONg9*I4qh*IkYwEAMK9QoZL6GRwQZX-uCiF2AzxZBT/omog.jpg?width=650)
Omog: Mtibwa hawatoki Ijumaa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2P1TKkYDtoAEzfgyY1lnmhN4iQfkFP6IT0SGYl2UsqUkg2cahD6brTV8CGqy*V2d20nYs3ET1kXMsMrKI6XgXpG/111.jpg?width=650)
Omog aziponda Simba,Yanga
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Domayo amshtua Omog Azam
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Azam yamtupia virago Omog
11 years ago
TheCitizen15 Apr
Omog’s big plans as Azam arrive
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Omog ataka mbili za majaribio kabla ya Yanga
![Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Joseph-Omog.jpg)
Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog
NA ZAITUNI KIBWANA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog, ametaka mechi mbili za majaribio kabla ya timu yake haijapambana na Yanga kwenye mechi ya Ngao ya Jamii.
Azam na Yanga zinatarajia kukutana Septemba 13, katika Uwanja wa Taifa kwenye mechi hiyo, inayoashiria kuanza kwa msimu mpya wa ligi.
Omog ambaye kwa sasa amerudi Dar es Salaam, baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Kagame alisema mechi hizo zitamsaidia kukiweka sawa kikosi chake.
“Alisema...
11 years ago
Mwananchi17 Jul
Kocha Omog agomea kambi ya nje Azam FC