Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Omog: Mtibwa hawatoki Ijumaa

Kocha Mkuu wa Azam, Joseph Omog,Na Ibrahim Mussa TAMBO zinaendelea kuelekea pambano kali kati ya Azam na Mtibwa litakalopigwa Agosti 8 katika Tamasha la Usiku wa Matumaini, Uwanja wa Taifa, Dar. Safari hii Kocha Mkuu wa Azam, Joseph Omog, ametamba kwamba atahakikisha wanaisambaratisha Mtibwa siku hiyo. Azam wameendelea kufanya mazoezi makali chini ya kocha wake huyo raia wa Cameroon ambapo juzi Jumamosi walikuwa kwenye Ufukwe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Al Ahly hawatoki’

Siku mbili kabla ya kuivaa Al Ahly ya Misri katika mchezo wa awali wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baadhi ya wachezaji nyota wa Yanga wameapa kufuta uteja kwa klabu za Afrika Kaskazini.

 

10 years ago

Mtanzania

Kocha Pluijm: BDF hawatoki Taifa leo

PluijmNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amewaondoa shaka mashabiki wa timu hiyo kuelekea mchezo wao dhidi ya BDF XI ya Botswana utakaofanyika leo na kueleza kuwa timu yake itawafunga Wabotswana hao.

Yanga itachuana na BDF kwenye mchezo wa hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni leo.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana mbele ya waandishi wa habari kwenye mkutano wa makocha wa pande...

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]

The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

Omog kutua na kifaa kipya

Kocha wa Azam FC Joseph Omog. Na Mwandishi Wetu
AKIWA katika harakati za kutaka kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao, bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Azam, anatarajiwa kuongeza straika mmoja kutoka Cameroon ambaye atatua nchini pamoja na kocha Joseph Omog wiki ijayo kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Brian Umony. Klabu hiyo mpaka sasa imefanikiwa kusajili wachezaji wawili wa kulipwa ambao ni Ismaila Diara kutoka Mali na Didier...

 

11 years ago

GPL

Omog aziponda Simba,Yanga

Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog. Na Said Ally
BAADA ya timu yake kuibuka mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog, ameziambia timu kongwe za Simba na Yanga zisitegemee tena kutwaa ubingwa huo, kwani hazina uwezo wa kupambana na kikosi chake. Omog ambaye alitua klabuni hapo katikati ya msimu kuchukua mikoba ya Stewart Hall, ameiwezesha Azam kuweka rekodi kwa mara ya kwanza kushinda taji hilo la ligi kuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yamtupia virago Omog

Hatimaye Azam imemtimua kocha wake Mcameroon Joseph Omog ikiwa ni siku mbili baada ya kutolewa na El Merreikh ya Sudan kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

 

10 years ago

Mwananchi

Domayo amshtua Omog Azam

Azam FC imepiga bao faida ya kuwajali wachezaji wao baada ya kupona kiungo wao mkabaji, Frank Domayo ambaye sasa amerudi kwa kasi ya ajabu.

 

11 years ago

TheCitizen

Omog’s big plans as Azam arrive

>A day after sealing the Vodacom Premier League, Azam FC head coach Joseph Omog has his eyes set on making an impact at the next edition of the CAF’s African Champions League.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani