Ongeza bidhaa na huduma uondoe rushwa nyingine
Rushwa ni mbaya na inatia uchungu. Hata aliye fundi wa kupokea rushwa, huumia sana na kunung’unika pale anapolazimika kutoa rushwa ili aweze kupewa haki yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Kidoti kushirikiana na kampuni ya china kutengeneza nywele na bidhaa nyingine
MWANADADA ambaye ni mwanamitindo, mwanamuziki na mtangazaji, Jokate Mwegelo, jana amesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara na Kampuni ya Rainbow Shell Craft ya China.
Kampuni hizo mbili zitashirikiana katika kuzalisha baadhi ya bidhaa kama nywele (wigi) , ndala, sendozi nakadhalika.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TuO2WIgqfWg/VD6w4Xc2ZPI/AAAAAAAGquQ/r5LyQXhQOeM/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
Bayport Tanzania yazindua huduma mpya ya Mikopo ya bidhaa
Na Andrew ChaleTaasisi ya kifedha ya Bayport Tanzania mapema leo Oktoba 15, 2014 imezindua huduma mpya ijulikanayo kama Mikopo ya bidhaa ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi wa watumishi wa umma na wafanyakazi wote wa kampuni zilizoidhinishwa na Bayport. Uzinduzi huo ulifanyika katika ofisi za makao makuu ya Bayport, maeneo ya Moroco jijini Dar es Salaam mbele ya wandishi wa vyombo mbalimbali vya habari umeonyesha matumaini mapya ya watanzania wanaosumbukia usafiri katika vituo...
10 years ago
GPLOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA HUDUMA NA BIDHAA WAPANDA KWA ASILIMIA 4.5
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Iphrahim Gwesigabo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kupanda kwa mfumuko wa bei wa huduma na bidhaa. Â Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Iphrahim Gwesigabo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kupanda kwa mfumuko...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PSTz7Qbt8yU/Xm54mpl4JHI/AAAAAAALjww/rR1Mfo55lygl0fEbLkBjleTVGMiUqgKrwCLcBGAsYHQ/s72-c/03c006a1-dc07-42e4-95c9-bc205f2cd875.jpg)
Serikali yatoa wito wananchi kujiepusha na rushwa wakati huduma za afya-Dkt. Subi
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
SERIKALI imetoa wito kwa wananchi kuacha kutoa rushwa kwa wahudumu wa afya pindi wanapopatiwa huduma kwani kutoa kutoa huduma ni wajibu wao.
Hayo ameyasema Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Wanawake Wanataka Nini inayoratibiwa na Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania ikiwa ni maadhimisho ya Utepe Mweupe Tanzania ambayo hufanyika Kila Machi...
5 years ago
MichuziSERIKALI MTANDAO IMEPUNGUZA GHARAMA ZA HUDUMA KWA WANANCHI NA MIANYA YA RUSHWA SERIKALINI-Dkt.MWANJELWA
Na. Aaron Mrikaria-Dodoma Utoaji huduma kupitia Serikali Mtandao katika Taasisi za Umma nchini umekuwa na tija kwa wananchi kwa kuwapunguzia gharama za kusafiri umbali mrefu kufuata huduma katika Taasisi za Umma, ikiwa ni pamoja na kupunguza mianya ya rushwa kwa watumishi wanaowahudumia wananchi katika taasisi za umma. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa jijini DODOMA wakati akizungumzia maboresho ya huduma...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Ongeza mvuto kwa shanga za Kiafrika
Kwa miaka mingi, jamii za Kiafrika zilikuwa na mazoea yaliyojengewa msingi katika mila na utamaduni kupitia ulimbwende wa kunogesha vazi kwa ladha ya shanga.
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI KUTOKA CLOUDS MEDIA GROUP WALIPATA FURSA YA KUTEMBEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI YA PSPF NA KUJIONEA WENYEWE UBORA WA HUDUMA NA BIDHAA ZA MFUKO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GgNahXUfzLs/XtDJaFnpOTI/AAAAAAALr8k/0zrd0UepHo8a1OL3s5VB8MJorX4eZG2XwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-29%2Bat%2B11.32.45%2BAM.jpeg)
Ongeza Salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa Airtel Money na Upate zaidi
![](https://1.bp.blogspot.com/-GgNahXUfzLs/XtDJaFnpOTI/AAAAAAALr8k/0zrd0UepHo8a1OL3s5VB8MJorX4eZG2XwCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-29%2Bat%2B11.32.45%2BAM.jpeg)
Ukiwa na Meridianbet, ofa hii mpya kabisa inamaanisha sasa unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa kupitia Airtel Money. Haijawahi kuwa rahisi hivi na kuweka pesa kunaweza kukamilika kwa kufuata hatua chache tu.
Kuweka pesa kwenye akaunti, Piga...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania