Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ongeza mvuto kwa shanga za Kiafrika

Kwa miaka mingi, jamii za Kiafrika zilikuwa na mazoea yaliyojengewa msingi katika mila na utamaduni kupitia ulimbwende wa kunogesha vazi kwa ladha ya shanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Jela miaka saba kwa kukamatwa na shanga za meno ya Tembo

FARAJA MASINDE NA GODFREY MBANILE (GPC), DAR ES SALAAM

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka saba sambamba na kulipa faini ya Sh milioni 20, Feng Quan (38), raia wa China, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na goroli 767 za shanga zilizotengenezwa kwa meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 5.8 ambayo ni nyara za serikali.

Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, John Msafiri, baada ya mtuhumiwa kukutwa na hatia ya kutumia nyara hizo zenye...

 

5 years ago

Michuzi

Ongeza Salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa Airtel Money na Upate zaidi

Kwa Meridianbet, muamala wako una thamani kuliko wakati wowote! Ongeza salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet.co.tz kwa Airtel Money na upate ushindi mkubwa unapoanza tu kubashiri online kwa kupata 5% ya bonasi kwa kila muamala wa kuweka pesa.
Ukiwa na Meridianbet, ofa hii mpya kabisa inamaanisha sasa unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa kupitia Airtel Money. Haijawahi kuwa rahisi hivi na kuweka pesa kunaweza kukamilika kwa kufuata hatua chache tu.
Kuweka pesa kwenye akaunti, Piga...

 

11 years ago

BBCSwahili

Condom zenye mvuto kwa vijana A. Kusini

Serikali ya A.Kusini imeanza mpango wa kuwapa vijana wa shule mipira ya Condom zenye rangi tofauti tofauti na ambazo zina harufu nzuri

 

11 years ago

Michuzi

introducing "Mrembo wa Kiafrika", Bongo Flava Trak Mpya toka Kwa 3G


Vijana wa Kitanzania watatu wajulikanao kama 3G, wako mbioni kuachia singo yao ya kwanza, "Mrembo wa Kiafrika". Vijana hawa, ambao wali-rekodi singo hiyo mwaka jana ni G Fullah, Frankie G na Oz Bitala. Hivi sasa wimbo huo, ambao pamoja na harmony na kuchana, una mandahari ya zilipendwa kama za Miriam Makeba na Abeti Masikini. Wimbo una ladha tofauti kidogo, na ni mziki ulioyotulia ukiambatana na acoustic guitar pekee.
Tafadhali sikiliza track hii, alafu tungependa kujua maoni yenu: je,...

 

10 years ago

GPL

JE, UNAPENDA KUWA MREMBO NA MWENYE MVUTO KWA HARAKA?

Tuna uzoefu wa miaka 15 na bidhaa zetu zote zimethibitishwa.           TUNAZO BIDHAA ZA:- 1. Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=. 2. Kutengeneza shepu (hips na makalio) @90,000/=. 3. Kuwa mweupe na softi mwili mzima @80,000/=. 4. Kuondoa mvi milele zisirudi @90,000/=. 5. Kuongeza maumbile na nguvu za kiume kwa:- (i)  Gely ya kupaka @70,000/=  (ii)  Vidonge… ...

 

10 years ago

GPL

MPAMBE WA MGOMBEA URAIS AVISHWA SHANGA

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
JAMAA anayedaiwa kwamba ni mpambe mkubwa wa mmoja wa wagombea urais mwakani ambaye ni fundi wa kufunga madishi, mkazi wa Magomeni-Makanya jijini Dar es Salaam, almaarufu Mgosingwa, amejikuta akivishwa shanga baada ya kunaswa na mke wa mtu chumbani kwake. Mgosingwa akivishwa shanga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu. FUMANIZI
Tukio hilo la aina yake la kufungia mwaka 2014 lilijiri kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Ongeza bidhaa na huduma uondoe rushwa nyingine

Rushwa ni mbaya na inatia uchungu. Hata aliye fundi wa kupokea rushwa, huumia sana na kunung’unika pale anapolazimika kutoa rushwa ili aweze kupewa haki yake.

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani