Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ongezeko la Ukimwi Morogoro na sababu zake

Manispaa ya Morogoro ni moja ya maeneo ambayo yameathiriwa na Ukimwi ambao kichocheo chake kikubwa ni mwingiliano wa kibiashara yakiwamo magari makubwa kama malori ambayo huegeshwa mjini humo likiwamo eneo maarufu la Itigi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sababu za ongezeko la VVU Rukwa yatajwa

Kasi ya ongezeko la wageni wanaoingia na kufanya shughuli za kiuchumi mkoani Rukwa imetajwa kwamba ndiyo kiini cha kushamiri kwa biashara ya ngono, hivyo kusababisha ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

 

11 years ago

Mwananchi

Sababu 10 zinazotia moyo dawa mpya ya Ukimwi

Wiki hii imekuwa na habari njema na ya faraja kwa dunia katika kupambana na Virusi Vya Ukimwi (VVU).

 

9 years ago

Bongo5

Ifahamu sababu ya Facebook kufungua ofisi zake Afrika

Facebook kwa mara ya kwanza barani Afrika wamefungua ofisi ili kuweza kuongeza ufanisi kibiashara na kwa wateja wao barani Afrika ukianzia nchini Afrika ya Kusini. Facebook ikiwa imemteua msimamizi wa bara la Afrika, Nunu Ntshingila, ofisi hiyo ikiwa Melrose Arch, Johannesburg. Watu karibu ya milioni 7.1 wanatumia mtandao wa Facebook nchini Nigeria zaidi ya Afrika […]

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO YA KUPINGA UBAGUZI WA RANGI NCHINI MAREKANI, SABABU NA HATARI ZAKE

Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani, sababu na hatari zakeMarekani imetumbukia tena katika machafuko makubwa kutokana na malalamiko ya wananchi wanaopinga mauaji yaliyofanywa na polisi wa nchi hiyo dhidi ya raia mweusi.Katika kipindi cha siku nne zilizopita miji mbalimbali ya Marekani kuanzia Minneapolis hadi New York, Atlanta mpaka Houston na Milwaukee hadi Los Angeles imekumbwa na maandamano na ghasia kubwa baina ya raia wanaoandamana, na polisi. Watu kadhaa wamejeruhiwa katika baadhi ya machafuko hayo na kunashuhudiwa ghasia na hata oporaji wa...

 

10 years ago

Bongo5

Matonya ataja sababu za kwanini ngoma zake hazihit kama zamani

Matonya amesema sababu kubwa iliyomfanya apotee kwenye muziki na nyimbo zake za sasa kutofanya vyema kama mwanzo ni kukosa uongozi mzuri wa kumsimamia. Matonya ameambia Bongo5 kuwa muziki wa sasa hivi upo tafauti na ule wa zamani uliokuwa hauhitaji mambo mengi kama muziki wa sasa. “Tatizo kubwa kadri siku zinapozidi kwenda wasanii tunazidi kuwa wengi, […]

 

10 years ago

Bongo5

Bob Junior atoa sababu ya nyimbo zake za sasa kushindwa kufika mbali

Msanii wa muziki na producer wa Sharobaro Records, Bob Junior amefunguka na kutoa sababu ya kwanini nyimbo zake nyingi za sasa kutokuwa na uhai mrefu kama za mwanzo. Bob Junior Bob Junior aliyewahi kutamba na wimbo wa ‘Oyoyo’ ameiambia Bongo5 kuwa, muziki wake kwa sasa hivi unaharibiwa na mitandao ya kijamii. “Nyimbo nyingi hazi-play sana […]

 

9 years ago

Bongo5

Belle 9 ahamishia rasmi makazi yake jijini Dar, azitaja sababu zilizomuhamisha kwao Morogoro

Wasanii wengi wa muziki waliopo Dar wametoka mikoani, na ukijaribu kuwauliza sababu za kuhamia Dar hata kama mikoa wanayotoka kuna studio nyingi za kurekodi pamoja na vituo vya radio, wengi wao hutoa sababu za kuja karibu na connection muhimu za media, studio, na wadau muhimu wa muziki. Upande wa Belle 9 sababu hizo hazikumshawishi kwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani