Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ORIGINO KOMEDI WAKABIDHIWA MATREKTA YA KILIMO NA KAMPUNI YA FARM EQUIP TANZANIA JIJINI DAR LEO.

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.WAIGIZAJI wa kindi cha Origino Komedi  wamewaasa vijana kutumia vipaji vyao ili kutengeneza maisha yao kuwa  mazuri na sio kufikiri kuwa vijana wengi hushikwa mkono na mtu ili kufanikiwa.
Hayo yamesemwa na kundi la waigizaji wa Origino Komedi wakati wa kukabidhiwa Matrekta ya Kilimo aina ya Sonalika kutoka kampuni ya Farm Equip Tanzania jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa kampuni ya Farm Equip Tanzania,Arif Sheink amesema kuwa  vijana  wameamua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Kariati yakabidhi wakulima matrekta manne leo, Jijini Dar

1. logo ya kariati

Kampuni ya Kariati Matracktor Diwani wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma, Omary Kariati, leo imekabidhi matrekta manne kwa wakulima wa wilaya ya Kondoa (matrekta matatu) na Mbarali (trekta moja), katika hafla iliyofanyika leo asubuhi, kwenye Ofisi za Kariati Matrektor, Kinondoni, Dar es Salaam. Zinazofuatia ni picha za hafla hiyo. (Picha/Maelezo na Bashir Nkoromo).

akikabidhi funguo

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kariati Matractor, Omary Kariati akimkabidhi fungua za trekta Mwakilishi wa wkulima wa Kondoa,...

 

10 years ago

Michuzi

wakulima 7 wakabidhiwa matrekta leo

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi
funguo za trekta kwa Mwalimu wa Shule ya msingi Kwadelo Bw. Hamza Haji,matrekta saba yalikabidhiwa leo kwa wakulima chini ya usimamizi wa
Diwani wa Kwadelo Alhaji Omari Kariati.(Picha na Adam Mzee) Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhi funguo za trekta kwa Dk. Edmund Mndolwa ambaye ni Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa ikiwa sehemu ya matrekta saba yaliotolewa na Alhaji Omari Kariati Diwani wa...

 

10 years ago

GPL

ORIGINO KOMEDI WAMWAGWA!

Stori: Mwandishi Wetu KUNDI maarufu la vichekesho ambalo kwa sasa ni kama halipo, limepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa meneja wao, mtangazaji nyota wa zamani wa televisheni, Christina Mosha maarufu kama Seven, kuwamwaga na hivyo kuachana nao. Baadhi ya waigizaji wa kipindi cha orijino Komedi kutoka kushoto ni Joti, Wakuvanga, Mpoki, Masanja mkandamizaji na Maclegan. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Seven alisema ameachana...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KILIMO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR

 Naibu Waziri wa  Kilimo Mhe. Abdallah Ulega akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Shamba hilo linatumika kwa uzalishaji na kufundishia jinsi ya kilimo cha ufugaji wa samaki aina ya Kambale na Sato. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.  Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul akizungumza katika ufunguzi wa  shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm)...

 

11 years ago

Mwananchi

KILIMO: ‘Kampuni za matrekta hazijawakomboa wakulima wadogo’

>Pamoja na kuwapo kampuni nyingi za kuuza matrekta nchini, bado hali hiyo haijaweza kuwakomboa wakulima wadogo kwa vile hakuna sera ya kuwakopesha wazalishaji hao ambao rasilimali yao kubwa ni ardhi.

 

9 years ago

Michuzi

WASHINDI WA MASOMO YA SAYANSI WAKABIDHIWA SCHOLARSHIP JIJINI DAR LEO.

 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST), Dk. Gozibert Kamugisha, akizungumza wakati wa kukabidhiwa kwa scholarship kwa wanafunzi Edwin Luguku na John Thomas wa Shule ya Sekondari Mzumbe ambao walikuwa washindi wa jumla katika maonesho ya sayansi 2015. Wanafunzi hao walipewa scholarship hizo la taasisi ya Karimjee Jivanjee Foundation ya jijini Dar es Salaam.  Mzee Karimjee, Mwenyekiti wa Taasisi ya Karimjee Jivanjee Foundation akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akutana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira akizungumza na  Bwana Karol Zarajczyk, ambaye ni Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland.
 Na. Issa Sabuni, WKCUWaziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira amepongeza hatua iliyofikiwa katika ya Serikali ya Tanzania chini ya Shirika la Uchumi na Maendeleo la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) na Kampuni ya kutengeneza Matrekta ya Ursus kutoka nchini Poland akisifu kuwa hatua hiyo ni ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA TIGO YATANGAZA USHIIRIKIANO NA MTANDAO WA KIJAMII WA FACEBOOK JIJINI DAR LEO.

 Mkuu wa idara ya data na vifaa vinavyotumia intarnet kutoka Tigo, David Zacharia akielezea wateja watakavyotumia huduma hiyo kwa urahisi,mbele ya Wanahabari jijini Dar leo.
 Mkuu wa ukuaji na ushirikiano wa mitandao ya kijamii kutoka Tigo, Naheed Hirji, akielezea upatikanaji wa huduma hiyo.Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria hafla hiyo.

KAMPUNI ya mtandao wa Tigo, imetangaza rasmi ushirikiano kati yao na mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo itatoa ofa ya Intaneti itakayotumiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani