ORIGINO KOMEDI WAMWAGWA!
![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzd5idh8ttchP6LKE5oDChvmgO4zqtSNXoojvW1SAuUINbB*M7koZlog7ZQA*6VVGTvBBI-WQfIYw1yFbAPaFsMA/komedi.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu KUNDI maarufu la vichekesho ambalo kwa sasa ni kama halipo, limepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa meneja wao, mtangazaji nyota wa zamani wa televisheni, Christina Mosha maarufu kama Seven, kuwamwaga na hivyo kuachana nao. Baadhi ya waigizaji wa kipindi cha orijino Komedi kutoka kushoto ni Joti, Wakuvanga, Mpoki, Masanja mkandamizaji na Maclegan. Akizungumza na gazeti hili juzikati, Seven alisema ameachana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziORIGINO KOMEDI WAKABIDHIWA MATREKTA YA KILIMO NA KAMPUNI YA FARM EQUIP TANZANIA JIJINI DAR LEO.
Hayo yamesemwa na kundi la waigizaji wa Origino Komedi wakati wa kukabidhiwa Matrekta ya Kilimo aina ya Sonalika kutoka kampuni ya Farm Equip Tanzania jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa kampuni ya Farm Equip Tanzania,Arif Sheink amesema kuwa vijana wameamua...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Maofisa usalama wamwagwa mikutano ya kamati za Bunge
11 years ago
Mtanzania02 Aug
Watuhumiwa ugaidi Arusha: Askari zaidi ya 100 wamwagwa mahakamani
![Baadhi ya watuhumiwa wa kesi za kujishhughulisha na vitendo vya kigaidi wakishhushwa kwenye magari tayari kwa kusomewa mashitaka yao. Watuhumiwa hao 19 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/ugaidi-arusha2.jpg)
Baadhi ya watuhumiwa wa kesi za kujishhughulisha na vitendo vya kigaidi wakishhushwa kwenye magari tayari kwa kusomewa mashitaka yao. Watuhumiwa hao 19 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
ELIYA MBONEA NA JANETH MUSHI, ARUSHA
ULINZI mkali jana uliimarishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakati watuhumiwa wa vitendo vya ulipuaji mabomu jijini hapa walipofikishwa mahakamani.
Askari wasiopungua 100 wakiwamo wenye mbwa, askari wa usalama wa taifa, magereza,...
10 years ago
Michuzi21 Sep
10 years ago
Bongo Movies18 Feb
Light: Sipendi Komedi Zinatudhalilisha Wanawake
Mwigizaji wa kike wa filamu Ligth butterfly Mushi ‘Light’ amefunguka kwa kusema kuwa hapendi kuigiza Komedi kwa sababu ni udhalilishaji hasa kwa wanawake, anasema kuwa aliwahi kuchaguliwa kucheza Komedi ya Inye lakini baadae aligundua kilichofanya achaguliwe ni maumbile yake.
“Tunaigiza filamu hakuna udhalilishaji lakini kuna Komedi tuliwahi kucheza ilikuwa inataka wasanii wa kike wawe na maumbile makubwa yaani makalio, kuchesha makalio sasa huo si uchekeshaji ni udhalilishaji, hicho ndio...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jU0fTRQJp_4/default.jpg)
10 years ago
Michuzi19 Sep
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/fY8UzMsIRAM/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/hpdL2Q1-Ww8/default.jpg)