Light: Sipendi Komedi Zinatudhalilisha Wanawake
Mwigizaji wa kike wa filamu Ligth butterfly Mushi ‘Light’ amefunguka kwa kusema kuwa hapendi kuigiza Komedi kwa sababu ni udhalilishaji hasa kwa wanawake, anasema kuwa aliwahi kuchaguliwa kucheza Komedi ya Inye lakini baadae aligundua kilichofanya achaguliwe ni maumbile yake.
“Tunaigiza filamu hakuna udhalilishaji lakini kuna Komedi tuliwahi kucheza ilikuwa inataka wasanii wa kike wawe na maumbile makubwa yaani makalio, kuchesha makalio sasa huo si uchekeshaji ni udhalilishaji, hicho ndio...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Filamu zenye tafsiri ya Kiingereza kibovu zinatudhalilisha
11 years ago
Habarileo24 Jul
JK: Sipendi kusutwa
RAIS Jakaya Kikwete amesema ametimiza ahadi zake kwa wananchi, kwa kuwa hapendi kusutwa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ktsylelmf0kIjRG0lP0V8hRehqpaKqPiw1KsJlu-CvxyLgfLgeKwC9v5qwHnNnKNLTdrwF7C7pGYQ2KH*Icpkat614Sl4gxj/koletha.jpg)
KOLETHA: SIPENDI UHUSIANO NA WASANII
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6A05RJELsOCxAImTXfFPPZlNxyCvFzyVaZRhXQa5b7rc-8PCa55DVjnmQLCEPW0hpn0-W762sv16WwnYuAuXCooavjFOT0dE/LNAH.jpg?width=650)
LINAH: SIPENDI KUTUMIA KINGA
10 years ago
Bongo Movies01 Mar
Shamsa: Sipendi Wanaolalamika Kutendwa!
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford leo mtandaoni ametoa mtazamo wake kuhusu swala la watu kulalamika muda wote kuwa wametendwa kwenye maswala la mahusiano ya kimapenzi.
“Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na kumpuuza”.
Wengi walionyesha kumuunga mkono kwa kubonyeza kitufe cha kupenda na wengine kushusha komenti zao, Je wewe kwa upande wako swala hili...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Msindai: Sipendi siasa za kuchafuana
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Mgana Msindai, amesema hapendi siasa za kuchafuana zinazofanywa na baadhi ya wanasiasa wanaotafuta umaarufu. Msindai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wenyeviti...
9 years ago
Bongo525 Nov
Naj: Sipendi mwanaume anayependa soka
![11420891_169700666713917_852980019_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11420891_169700666713917_852980019_n-300x194.jpg)
Kama wewe ni mwanaume na ni shabiki wa ligi ya England, ligi kuu ya Tanzania au zingine jipange kwasababu umepoteza kigezo cha kumfanya Naj akuite mpenzi wake.
Muimbaji huyo wa ‘Don’t Let Me Go’ hapendi mwanaume anayependa soka.
“Sasa hivi siwezi kumdate a guy who likes football,” Naj alisema kwenye kipindi cha Chill na Sky.
“Sio type yangu cause they are so much into other guys in shorts running around for 90 minutes kicking balls halafu mwisho wa siku wanafunga magoli mawili,”...
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Thea:Sipendi Vijiwe,Kuepuka Majungu
Mrembo na mwigizaji mkongwe katika filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kusema kwamba kwa sasa amebadili aina ya maisha yake kwa kuwaepuka marafiki wanafiki aliokuwa akikutana nao kwenye makundi au vijiwe vya majungu.
Akizungumzia swala hilo, Thea alisema siku hizi hata akienda location anafanya kile kilichompeleka na baada ya hapo anarudi nyumbani mapema ili kumuwahi mumewe.
“Siku hizi nikienda location nafanya kilichonipeleka, nabadilisha nguo narudi nyumbani kwangu maana...
10 years ago
Bongo Movies03 Jan
Jokate: Sipendi Kutomaswa Kwenye Filamu!
Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesema kuwa hapendi kuigiza sini za mapenzi hasa zile anazotakiwa kushikwashikwa na mwanaume hasa asiyemjua.
Jokate alifunguka hayo wakati paparazi wa GPL alipotaka kujua namna ambavyo wazazi na mpenzi wake wanavyolipokea suala la yeye kuigiza sini za kushikwashikwa na wanaume tofauti katika filamu ndipo alipofunguka kuwa suala hilo limekuwa likipigwa vita na wazazi wake lakini analazimika kufanya kwa sababu ndiyo kazi...