Watuhumiwa ugaidi Arusha: Askari zaidi ya 100 wamwagwa mahakamani
Baadhi ya watuhumiwa wa kesi za kujishhughulisha na vitendo vya kigaidi wakishhushwa kwenye magari tayari kwa kusomewa mashitaka yao. Watuhumiwa hao 19 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
ELIYA MBONEA NA JANETH MUSHI, ARUSHA
ULINZI mkali jana uliimarishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakati watuhumiwa wa vitendo vya ulipuaji mabomu jijini hapa walipofikishwa mahakamani.
Askari wasiopungua 100 wakiwamo wenye mbwa, askari wa usalama wa taifa, magereza,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Watuhumiwa ugaidi Arusha kizimbani leo
WATUHUMIWA 19 waliokamatwa na Jeshi la Polisi jijini Arusha wakihusishwa na matukio mbalimbali yanayoashiria ugaidi, ikiwemo milipuko ya mabomu na umwagiaji tindikali, wanatarajiwa kupanda kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu...
11 years ago
GPL
WATUHUMIWA 19 WA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI JIJINI ARUSHA
10 years ago
Habarileo21 May
Watuhumiwa 25 wa ugaidi kortini Moro
WATU 25 wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ugaidi katika Tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero mkoa wa Morogoro, wamepandishwa kizimbani.
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Watuhumiwa wawili wa ugaidi kortini Dar
Waandishi Wetu, Dar na Tanga
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kutoa mafunzo ya ugaidi kwa vijana wa Tanzania mkoani Tanga.
Mmoja wao anaelezwa kuwa alikuwa pia akitoa mafunzo ya jeshi kwa kundi la Hizbul al lililotaka kuipindua serikali ya Somalia mwaka 2010.
Washtakiwa hao, Ally Nassoro au Dk. Sule na Juma Zuberi au Kitambi, walifikishwa jana katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Riwa.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Peter Njike akisoma...
11 years ago
Mwananchi28 Jul
Watuhumiwa ugaidi wang’ang’aniwa
11 years ago
Mtanzania22 Aug
Watuhumiwa ugaidi wachafua hali ya hewa kortini

Watuhumiwa wa kesi ya ugaidi, akiwamo Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto), wakitoka kwenye chumba cha mahakama baada ya kesi yao kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Picha na Jumanne Juma
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
KIONGOZI wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), ametoa shutuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi akidai kuwa limewafanyia ukatili kwa kuwapiga, hali inayowafanya baadhi yao wajisaidie damu.
Sheikh...
11 years ago
Mwananchi18 Sep
Mawakili watano wajitosa kuwatetea watuhumiwa ugaidi
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Watuhumiwa kufikishwa mahakamani Kenya