Oscar aipaisha England
Oscar amekuwa mchezaji wa kwanza anayecheza Ligi Kuu ya England kufunga bao katika Fainali za Kombe la Dunia 2014, wakati wenyeji Brazil wakishinda 3-1 katika mchezo wa ufunguzi
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Suarez aipaisha Liverpool
>Mshambuliaji Luis Suarez ameendelea kung’ara na kuiongoza Liverpool kukalia usukani wa ligi baada ya kufunga mabao mawili wakishinda 3-1 nyumbani dhidi ya Cardiff City.
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Samatta aipaisha TP Mazembe
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameiongoza TP Mazembe kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya USM Alger katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika mjini Bologhine.
11 years ago
Mwananchi22 Aug
Jaja aipaisha Yanga
Mshambuliaji wa Genilson Santos ‘Jaja’ ameanza kwa kishindo kibarua chake Yanga kwa kufunga bao pekee wakiichapa Chipukizi 1-0 kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba.
9 years ago
Africanjam.Com
SUPPORTERS NAME ENGLAND CAPTAIN WAYNE ROONEY ENGLAND PLAYER OF THE YEAR

10 years ago
BBCSwahili28 Jan
AFCON: Ayew aipaisha Ghana robo fainali
Ghana yafuzu kucheza robo fainali michuano ya Afcon wakiicharaza Afrika Kusini 2-1
9 years ago
Mwananchi20 Dec
LIGI KUU: Tambwe aipaisha Yanga, Simba yashikwa
Baada ya ukame wa mabao katika michezo miwili mfululizo, mshambuliaji Amissi Tambwe jana alifunga mabao matatu ‘hat trick’ ya kwanza msimu huu na kuisaidia Yanga kupata ushindi mnono wa mabao 4-0 na kuendelea kuongoza ligi kwa kufikisha pointi 30.
11 years ago
Michuzi10 Jun
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA
10 years ago
BBC
11 years ago
BBC
Oscar Pistorius 'has no money'
The sentencing hearing of Oscar Pistorius hears the athlete has no money left after the seven-month trial.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania