Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pacquiao kupigana mara ya mwisho

Bondia raia wa Ufilipino Manny Pacquiao amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa akastaafu katika ulingo wa ndondi baada ya pigano moja mwaka ujao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Amir Khan kupigana na Manny Pacquiao

Pacquiao na KhanLAS VEGAS, MAREKANI

BAADA ya bondia, Floyd Mayweather, kuachana na pambano la Amir Khan na kumchagua Andre Berto, Khan ameamua kuomba pambano dhidi ya Manny Pacquiao.

Mayweather anatarajia kupigana pambano lake la mwisho Septemba 12 mwaka huu dhidi ya Berto, awali Khan alimuomba Mayweather kupambana katika pambano hilo lakini Mayweather aliamua kumchagua Berto.

Kutokana na hali hiyo, Khan anatarajia kupambana na Pacquiao mwanzoni mwa mwaka 2016.

Mwandaaji wa pambano hilo ambaye ni wakala wa...

 

9 years ago

Bongo5

Floyd Mayweather asisitiza Andre Berto ni bondia wa mwisho kupigana naye

Bondia Floyd Mayweather amesisitiza kwa mara nyingine kuwa Andre Berto ndiye bondia wa mwisho kupigana naye katika pambano lao la Jumamosi. Mayweather amesema watu wengi wanafikiri tofauti kwamba atapigana tena. Pambano hilo la 49 ndilo litakuwa la mwisho kwake na anataka kushinda kubaki na rekodi yake ya kutopigwa daima katika ngumi za kulipwa. Andre Berto […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius kuhojiwa mara ya mwisho

Upande wa mashtaka unamhoji Oscar Pistorius kwa mara ya mwisho katika kesi inayomkabili ya mauaji ya mpenzi wake Reeva Steenkamp

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA JK AKIWA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK, KWA MARA YA MWISHO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete jana jumanne amelihutubia kwa mara ya mwisho Baraza Kuu la 70 la Umoja wa Mtaifa akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Hotuba ya Mhe. Rais na ambayo iligusia mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi, na maendeleo akitumia pia fursa hiyo kuwaanga viongozi wenzie na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompatia katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, iliwasisimua wajumbe wa mkutano huo kiasi cha kukatishwa mara...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

9 years ago

Mwananchi

Fahamu kinachosababisha maumivu ya kichwa, harara, kiungulia mara kwa mara

Inaweza kukushangaza kuwa baadhi ya vyakula maarufu na vinavyopendwa, mathalani matunda ya jamii ya machungwa, machenza, malimao, ndimu, na mabalungi, vinaweza kukusababishia hisia za kuumwa.

 

9 years ago

StarTV

Waendesha Bajaji Dodoma wagoma madai ya faini za mara kwa mara

 

Wafanyabiashara wa pikipiki za magurudumu matatu maarufu kama  bajaji wa manispaa ya Dodoma wamesitisha kutoa huduma ya usafiri kwa zaidi ya saa nne wakipinga kutozwa faini za mara kwa mara na Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini SUMATRA kwa madai kuwa wamekiuka agizo la mamlaka hiyo kwa kuegesha katika maeneo yasiyo rasmi.

Mgomo huo umekuja baada ya mamlaka hiyo kuzikamata Bajaji 12 za wafanyabiashara hao kwa kuegesha eneo lisilo husika wakitakiwa kulipa faini ya shilingi...

 

5 years ago

Michuzi

Uhamiaji Mkoa wa Mara yapokea Kontena kutoka Barrick North Mara


Katika kuendelez can a jitihada za kuunga mkono serikali katika ulinzi na usalama hapa nchini Mgodi wa Barrick North Mara Mkoani Mara umetoa kontena moja (tupu) kwa Idara ya Uhamiaji  wilayani Butiama Mkoani Mara litakalotumika kama Ofisi ndogo katika Kizuizi cha Kirumi ikiwa na lengo la kurahisisha utendaji kazi katika kizuizi hicho.

Akiongea wakati akipokea kontena hilo Afisa uhamiaji Mkoa wa Mara Naibu Kamishna wa Uhamiaji DCI Albert Rwelamila aliwapongeza wakurugenzi wa Barrick North Mara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani