Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pakistan yaomboleza mauaji ya watoto

Raia nchini Pakistan wanaadhimisha siku tatu za maombolezo kuwakumbuka zaidi ya watu 140 waliouwawa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Tunisia yaomboleza mauaji ya wanajeshi

Tunisia imesema wanajeshi wake 14 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika shambulizi la wanamgambo karibu na mpaka na Algeria.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAOMBOLEZA NA WAFARANSA KUFUATIA MAUAJI YALIYOTOKEA HIVI KARIBUNI

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,Balozi Tuvako Manongi akibadilishana mawazo na Mabalozi wenzie muda mfupi kabla ya kusaini kitabu cha maombolezo kilichofunguliwa katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa, kufuatia tukio la jumatano ambapo watu kumi na mbili wakiwamo waandishi wa gazeti la Charlie Hebdo walipoteza maisha Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Picha za mauaji ya wakristo Pakistan

Pakistan wamekusanyika kwa maziko ya waathiriwa wa mauaji ya siku ya jumapili yanayoaminiwa kufanywa na wanamgambo wa Taliban

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanne wauawa Pakistan kuhusiana na mauaji Peshawar

Pakistan imewanyonga watu wanne waliohusishwa na shambulio katika shule ya jeshi eneo la Peshawar lililoua watu zaidi ya 150.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wanyanyaswa kijinsia Pakistan

Kashfa za unyanyasaji na dhulma za kingono dhidi ya watoto zakithiri Pakistan.

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAWACHA walijia juu sakata mauaji ya watoto

BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limewataka Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mathias Chikawe,Waziri wa Jinsia Wanawake na Wanawake, Sophia Simba na Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA WATOTO 8 AUSTRALIA, MAMA MZAZI ASHITAKIWA

Maua na midoli ikiwa jirani na nyumba yalipotokea mauaji hayo. Mmoja wa ndugu wa marehemu akilia kwa simanzi. Waombolezaji…

 

10 years ago

Mwananchi

Bavicha wataka IGP apambane na mauaji ya watoto

Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kuchukua hatua madhubuti kupambana na mauaji ya watoto yanayoendelea nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

MAUAJI: Watoto wadaiwa kumnyonga mwenzao wa miaka mitatu

>Wakazi wa Kijiji cha Masusu, Kata ya Gisambalang wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara wamepatwa na mshtuko kutokana na tukio lenye utata la kuuawa mtoto Omary Hamis mwenye umri wa mitatu, kisha mwili wake kutundikwa juu ya mti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani