Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bavicha wataka IGP apambane na mauaji ya watoto

Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kuchukua hatua madhubuti kupambana na mauaji ya watoto yanayoendelea nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

BAVICHA wataka uwajibikaji serikalini

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (BAVICHA) limeitaka serikali kuwajibika kwa misingi ya uzalendo dhidi ya wawekezaji nchini kwa kuwa ndio chanzo cha kuwa na wawekezaji...

 

10 years ago

Vijimambo

IGP MANGU ATUA KITETO, NI KUFUATIA MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akizungumza na wananchi wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto mkoani Manyara leo Jumanne Novemba 18, 2014. IGP ametua wilayani humo kufuatilia yeye mwenyewe migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji iliyosababisha kutokea mapigano yaliyopelekea kutokea kwa vifo vya wananchiMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mamaja wataka mauaji ya vikongwe yatokomezwe Geita

KIKUNDI cha mahusiano na mawasiliano ya jamii (Mamaja Group), cha mjini hapa kimeitaka jamii kutoa ushirikiano wa kutokomeza kabisa mauaji ya vikongwe yanayosababishwa na imani za kishirikina, urithi na migogoro...

 

10 years ago

Michuzi

IGP MANGU AFUNGUA JENGO LA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO MKOA WA KILIMANJARO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,Inspekta Jenerali wa Polisi ,Ernest Mangu akizungumza wakati wa uzinduzi wa jengo la dawati la Jinsia katka kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi.Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Koka Moita akizungumza kabla ya kumkaribisha ,IGP ,Mangu kuzindua dawati la jinsia.Mkuu wa Dawati la Jinsia mkoa wa Kilimanjaro,Grace Lyimo akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo hilo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

BBCSwahili

Pakistan yaomboleza mauaji ya watoto

Raia nchini Pakistan wanaadhimisha siku tatu za maombolezo kuwakumbuka zaidi ya watu 140 waliouwawa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAWACHA walijia juu sakata mauaji ya watoto

BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limewataka Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mathias Chikawe,Waziri wa Jinsia Wanawake na Wanawake, Sophia Simba na Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA WATOTO 8 AUSTRALIA, MAMA MZAZI ASHITAKIWA

Maua na midoli ikiwa jirani na nyumba yalipotokea mauaji hayo. Mmoja wa ndugu wa marehemu akilia kwa simanzi. Waombolezaji…

 

11 years ago

Mwananchi

MAUAJI: Watoto wadaiwa kumnyonga mwenzao wa miaka mitatu

>Wakazi wa Kijiji cha Masusu, Kata ya Gisambalang wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara wamepatwa na mshtuko kutokana na tukio lenye utata la kuuawa mtoto Omary Hamis mwenye umri wa mitatu, kisha mwili wake kutundikwa juu ya mti.

 

5 years ago

CCM Blog

MAUAJI YA KIBARI RWANDA: 'MIMI NI MAMA-NILIUWA WAZAZI WA BAADHI YA WATOTO'

Fortunate MukankurangaHaki miliki ya pichaNATALIA OJEWSKAMaelfu ya wanawake walishiriki mauaji ya kimbari ya Rwanda 1994 lakini jukumu lao halijakuwa likizungumziwa, hali inayofanya maridhiano na familia zao kuwa ngumu.Mwanahabari Natalia Ojewska amekuwa akizungumza na baadhi ya wanawake hao gerezani.Kitu kilichoanza kama shughuli ya kawaida ya wanawake kuenda mtoni kuteka maji ya kutayarisha kiamsha kinywa, kiliishia kumfanya Fortunate Mukankuranga kutekeleza mauaji.Akiwa amevalia sare za wafungwa huku akiongea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani