Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAVICHA wataka uwajibikaji serikalini

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA (BAVICHA) limeitaka serikali kuwajibika kwa misingi ya uzalendo dhidi ya wawekezaji nchini kwa kuwa ndio chanzo cha kuwa na wawekezaji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bavicha wataka IGP apambane na mauaji ya watoto

Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kuchukua hatua madhubuti kupambana na mauaji ya watoto yanayoendelea nchini.

 

9 years ago

Habarileo

OUT wakumbushwa dhana ya uwajibikaji

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), tawi la Manyara wanaosoma huku wakifanya kazi wamehimizwa kukabili changamoto za uwajibikaji kazini na kwenye masomo ili kufikia malengo ya maendeleo kwa kujipatia elimu kwa wote.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uwajibikaji katika Muungano TZ

Katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar je uwazi na uwajibikaji vimekuwa?

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Uwajibikaji, Changamoto na Uweledi wa Kamati ya PAC

Uwajibikaji, Changamoto na Uweledi wa Kamati ya PAC

Mfumo thabiti wa Uwajibikaji ni moja ya jawabu muhimu sana katika kuhakikisha Taifa linaondokana na ufisadi na masuala mengine yanayorudisha nyuma maendeleo ya Tanzania. Kazi za mwisho za Kamati ya PAC katika Bunge la Kumi zilisheheni mambo mengi muhimu katika mchakato endelevu wa ujenzi wa mfumo thabiti wa uwajibikaji nchini kwetu.

Taarifa ya Mwaka iliyojadiliwa na kupitishwa na Bunge wiki iliyopita ndio ilikuwa taarifa yetu ya mwisho...

 

11 years ago

GPL

UWAJIBIKAJI: WAZIRI WA UHAMIAJI UINGEREZA AJIUZULU

Waziri wa Uhamiaji wa Uingereza, Mark Harper. WAZIRI wa Uhamiaji wa Uingereza, Mark Harper, amejiuzulu baada ya kugundulika kuwa amemuajiri mfanyakazi asiyekuwa na kibali cha kufanya kazi Uingereza. Harper ameeleza kuwa alidanganywa na mwanamke mmoja aliyemuonesha nyaraka za bandia, alipomuajiri mwaka 2007 kusafisha nyumba yake. Bwana Harper ambaye amekuwa Waziri wa Uhamiaji tangu mwaka 2012, alisema kwa sababu alichangia...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mkapa: Maslahi binafsi yanaathiri uwajibikaji


NA RABIA BAKARI
RAIS Mstaafu Benjamin Mkapa, amesema mgongano wa kimaslahi baina ya viongozi na watumishi wa umma, ni janga ambalo halijapewa uzito wa kutosha katika kulipatia ufumbuzi.
Amesema tatizo hilo limekuwa likizikumba nchi mbalimbali duniani na kwamba viongozi wenye maslahi binafsi ni tatizo katika kuleta usawa na uwajibikaji.

Akizungumzia wakati akifungua warsha ya kujadili Mapendekezo ya Sheria Mgongano wa Kimaslahi miongoni mwa watumishi wa umma mjini Dar es Salaam, jana, alisema...

 

10 years ago

Mwananchi

Blatter ameonyesha uwajibikaji, wengine wamfuate

Mapema wiki hii, Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Soka Duniani (Fifa), Joseph Blatter alitangaza kuwa atajiuzulu nafasi yake na kuitisha mkutano wa dharura wa uchaguzi ili kumpata rais mpya.

 

10 years ago

StarTV

Mapambano dhidi ya mauaji ya Albino, UN yahimiza uwajibikaji.

Na Rogers Wilium na Maliganya Charahani,

Mwanza.

 

Shirika la Umoja wa Mataifa UN limesema mauaji ya Albino, vitendo vya ukatili wa kijinsia na tatizo la watoto wa mitaani nchini T anzania yanaweza kutatuliwa kwa uwajibikaji wa mamlaka na idara zote nchini.

Hoja hiyo inakuja katika ziara ya Mkurugenzi mkazi wa Shirika hilo Alvaro Rodriguez aliyoifanya kwenye mikoa ya Mwanza, Mara na Shinyanga na kujionea changamoto hizo kwa ujumla.

Mikoa ya kanda ya Ziwa bado inakumbana na tatizo la...

 

10 years ago

Habarileo

Sheria ya sekta binafsi ulinzi kuleta uwajibikaji

KUKAMILIKA kwa sheria ya kudhibiti sekta binafsi ya ulinzi, kutasaidia kuondoa kampuni yanayofanya shughuli hiyo kwa ubabaishaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani