Mkapa: Maslahi binafsi yanaathiri uwajibikaji
![](http://3.bp.blogspot.com/-unP-HvN8Gdk/U_2lK6iE5eI/AAAAAAAABkM/BMVJ6wlA2w0/s72-c/mkapa2.jpg)
NA RABIA BAKARI
RAIS Mstaafu Benjamin Mkapa, amesema mgongano wa kimaslahi baina ya viongozi na watumishi wa umma, ni janga ambalo halijapewa uzito wa kutosha katika kulipatia ufumbuzi.
Amesema tatizo hilo limekuwa likizikumba nchi mbalimbali duniani na kwamba viongozi wenye maslahi binafsi ni tatizo katika kuleta usawa na uwajibikaji.
Akizungumzia wakati akifungua warsha ya kujadili Mapendekezo ya Sheria Mgongano wa Kimaslahi miongoni mwa watumishi wa umma mjini Dar es Salaam, jana, alisema...
Uhuru Newspaper
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10