Mjumbe: Jina la Nyerere lisitumike kwa maslahi binafsi
Miongoni mwa wanasiasa ambao sasa kauli na misimamo yao imekuwa mjadala katika Mchakato wa Katiba ni Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-unP-HvN8Gdk/U_2lK6iE5eI/AAAAAAAABkM/BMVJ6wlA2w0/s72-c/mkapa2.jpg)
Mkapa: Maslahi binafsi yanaathiri uwajibikaji
NA RABIA BAKARI
RAIS Mstaafu Benjamin Mkapa, amesema mgongano wa kimaslahi baina ya viongozi na watumishi wa umma, ni janga ambalo halijapewa uzito wa kutosha katika kulipatia ufumbuzi.
Amesema tatizo hilo limekuwa likizikumba nchi mbalimbali duniani na kwamba viongozi wenye maslahi binafsi ni tatizo katika kuleta usawa na uwajibikaji.
![](http://3.bp.blogspot.com/-unP-HvN8Gdk/U_2lK6iE5eI/AAAAAAAABkM/BMVJ6wlA2w0/s1600/mkapa2.jpg)
Akizungumzia wakati akifungua warsha ya kujadili Mapendekezo ya Sheria Mgongano wa Kimaslahi miongoni mwa watumishi wa umma mjini Dar es Salaam, jana, alisema...
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Tuache maslahi binafsi tutafute katiba ya nchi
MCHAKATO wa kuandika katiba mpya ya taifa letu umefika mahali pagumu. Ni pagumu kwa vile mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba hauonyeshi kutoa kile ambacho wananchi wanakisubiri kwa hamu sana....
9 years ago
MichuziTLB WANA SHAKA NA VYAMA VYA SIASA KWA KUTOWEKA MASLAHI NA HAKI KWA WATU WASIOONA
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria II
WIKI iliyopita tuliishia sehemu inayoeleza mahakama itatumia vigezo gani katika kuthibisha kuwa ni mzazi wa mtoto husika. Sasa endelea… JAMBO la kwanza kama kuna ndoa yoyote ilifanyika kulingana na Sheria...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Matunzo na maslahi ya watoto kwa mujibu wa sheria
KIHISTORIA, Tanzania ilikuwa ni nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kufanya utafiti juu ya hali ya haki na ustawi wa mtoto mnamo mwaka 1988. Hii ilikuwa ni mwaka...
11 years ago
Habarileo21 Mar
‘Wanasiasa msishabikie Katiba kwa maslahi yenu’
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wabunge na wawakilishi wamewataka wanasiasa wenzao kutoshabikia muundo wa utawala kwenye Katiba mpya kwa maslahi ya kupata vyeo. Badala yake wamewataka kuhakikisha Katiba mpya, inagusa maisha ya watu na uchumi kiujumla ili kuwasaidia wananchi kuondokana na umasikini na kupata maendeleo.
10 years ago
Habarileo01 Sep
Chama chasisitiza maslahi kwa walemavu wanawake
CHAMA cha Furaha ya Wanawake Wajasiriamali kwa Viziwi Tanzania (Fuwavita) kimeomba Halmashauri kuweka mahitaji na maslahi ya walemavu wanawake viziwi katika bajeti zao wapate haki zao za msingi.
10 years ago
Habarileo13 Aug
‘Vijana chagueni viongozi wenye maslahi kwa taifa’
WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imehimiza vijana kuhakikisha wanachagua viongozi wenye maslahi kwa taifa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Elisante Ole Gabriel alitoa mwito huo jijini Dar es Salaam jana katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.
11 years ago
Habarileo08 Apr
Wasihi kuingizwa vipengele vyenye maslahi kwa wanawake,watoto
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kuwatendea haki vijana, wanawake na watoto kwa kuingiza vipengele ambavyo vina maslahi katika kuboresha maisha yao.