Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Palasa wa TPBC awashutumu Mlundwa, Ustadh

Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC), Chaurembo Palasa amewataja viongozi wa ngumi wa PST na TPBC, Emmanuel Mlundwa na Yassin Abdallah ‘Ustadh’ kuwa vinara wa kuvuruga mchezo huo nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kagame awashutumu viongozi wa Burundi

Rais wa Rwanda Paul Kagame ameshutumu vikali viongozi wa Burundi kutokana na mauaji ya raia na kusema yanaweza kuvutia wapenda haki kuingilia kati.

 

10 years ago

Mwananchi

Mlundwa akumbuka KO ilivyomchanganya Cuba

Emmanuel Mlundwa, ambaye hivi sasa ni rais wa Chama cha Ngumi za Kulipwa Tanzania (PST), alikuwa bondia wa timu ya taifa kabla ya kuwa kiongozi n a alikumbana na changamoto nyingi.

 

11 years ago

GPL

USTADH ALIVYOMCHINJA MTOTO

Stori: Waandishi Wetu
KUFUATIA tukio la Ustadh Mohamed Said Ngulangwa (36), mkazi wa Mbagala-Charambe jijini Dar kumchinja mtoto Jamal Salum Ally (12) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano kisha na yeye kuuawa na wananchi wenye hasira, Uwazi kama kawaida yake lilichimba tukio hilo na kubaini mengi, twende pamoja. MTOTO AITWA, AENDA
Akizungumza na Uwazi Jumamosi iliyopita msibani Mbagala juzi, mtoto mmoja (jina lipo) alisema...

 

9 years ago

Vijimambo

USTADH MASOUD MAFTAH AKIWA VIWANJA VYA JANGWANI

Ustadh Masoud Maftah akiwa viwanja vya jagwani  sambamba na  mgombea urais kupitia chama tawala CCM dkt Magufuli, hapa ustadh maftah akipata ukodak  na mwanachama wa ccm aliekunywa maji ya bendera.Ustadh Masoud Maftah ambae pia ni mwenyekiti wa CCM Conventional Club akipata ukodak viwanja vya Jangwani wakati wa kufunga kampeni za ccm mkoa wa Dar-es-Salaama.

 

11 years ago

IPPmedia

TPBC approves new amendments


IPPmedia
TPBC approves new amendments
IPPmedia
The Tanzania Professional Boxing Commission (TPBC) members approved almost all constitutional amendments which were tabled at the meeting held in Dar es Salaam last Sunday and presided over by the interim President, Chaurembo Palasa. TPBC had ...

 

11 years ago

IPPmedia

TPBC appoints interim committee


IPPmedia
TPBC appoints interim committee
IPPmedia
The Tanzania Boxing Commission (TPBC) yesterday announced its interim executive committee which will be in charge to organise its annual general meeting set for June 22 at DDC Keko hall. Chaurembo Palasa is heading the committee under the ...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZA TPBC NA KINYOGOLI FONDITION ZILIVYOPIGWA


Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala baada ya kuonesha shoo safi ya ngumi

Bondia Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond Mbwago wakati wa mpambano uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam Bwago alishinda kwa point

Bondia Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond...

 

10 years ago

TheCitizen

TPBC suspends promoter Siraju for three months

Tanzania Professional Boxing Commission (TPBC) has suspended for three months, professional boxing promoter Kaike Siraju, after failing to comply with the body’s rules and regulations.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani