Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pande hasimu zakubaliana Libya

Mjumbe wa umoja wa mataifa nchini Libya anasema kuwa wawakilishi wa serikali mbili zinazozana nchini humo wameafikia makubaliano ya kisiasa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Tsvangirai amtimua hasimu wake

Kiongozi wa MDC Morgan Tsvangirai alitimuliwa na chama hicho wiki jana lakini naye sasa amemtimua katibu mkuu wake Tendai Biti

 

9 years ago

BBCSwahili

Uhamiaji:UK na Ufaransa zakubaliana

Uingereza na Ufaransa zimetia saini ya makubaliano ya ushirikiano dhidi ya kukabiliana na walanguzi wa wahamiaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

EU, Uturuki zakubaliana suala wakimbizi

Umoja wa ulaya na uturuki wafikia makubaliano ya jinsi ya kuchukua hatua ili kuondokana na mafuriko ya wakimbizi na wahamiaji ndani ya bara la Ulaya.

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA SWEDEN ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akisalimiana na Mhe. Tanja Rasmusson, Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Kimataifa wa Sweden alipofika Wizarani leo. Mhe. Rasmusson yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuimarisha ushirikiano katika nyanja za biashara, uwekezaji, elimu, haki za binadamu na vita dhidi ya rushwa. Mhe. Rasmusson akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili...

 

11 years ago

Habarileo

TSN, taasisi za habari zakubaliana kushirikiana

TAASISI zilizo chini ya habari, vijana, utamaduni na michezo zimeingia makubaliano ya kushirikiana katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo. Makubaliano ya taasisi hizo, ikiwemo Kampuni ya uchapishaji wa magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN) yalifikiwa jana katika mkutano uliokutanisha wizara na taasisi hizo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sterling:Liverpool na Man City zakubaliana

Manchester City ya Uingereza imekubaliana na wapinzani wao Liverpool dau la pauni milioni £49 kumsajili mshambulizi Raheem Sterling.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania na Misri zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy  wakizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu  ziara ya siku tatu ya Mhe. Fahmy hapa nchini kuanzia tarehe 21 hadi 23 Februari, 2014. Mhe. Fahmy yupo nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.  Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwasikiza Mhe. Membe na...

 

11 years ago

Michuzi

EPZA, COSTECH ZAKUBALIANA KUENDELEZA TEHAMA


 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Hassan Mshinda wakitia saini makubaliano ya uanzishaji na uendelezaji wa eneo maalumu la hekari 238 Bagamoyo kwa ajili ya kuendeleza teknolojia ya habari na mawasiliano nchini. Waliosimama ni Afisa wa EPZA, Bi. Sarah Patric na Mwanasheria wa Tume hiyo, Bi. Zainab Bakari (kulia). Tukio hilo lilifanyika jijini Dar es...

 

5 years ago

Michuzi

Rwanda na Uganda zakubaliana kukabidhiana wahalifu

Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda na Uganda wametia saini makubaliano ya kukabidhiana wahalifu wanaosakwa na nchi hizo.

Makubaliano hayo yametiwa saini katika mkutano uliofanyika katika mpaka ukisimamiwa na Marais Paul Kagame na Yoweri Museveni.

Mkutano huo uliunga mkono kuachiliwa kwa makumi ya raia waliokuwa wakizuiliwa kutoka pande zote mbili katika kipindi cha wiki chache zilizopita.

Rwanda inaishutumu Uganda kwa kuwahifadhi waasi wanaokabiliana na serikali ya taifa hilo huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani