Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EPZA, COSTECH ZAKUBALIANA KUENDELEZA TEHAMA


 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Hassan Mshinda wakitia saini makubaliano ya uanzishaji na uendelezaji wa eneo maalumu la hekari 238 Bagamoyo kwa ajili ya kuendeleza teknolojia ya habari na mawasiliano nchini. Waliosimama ni Afisa wa EPZA, Bi. Sarah Patric na Mwanasheria wa Tume hiyo, Bi. Zainab Bakari (kulia). Tukio hilo lilifanyika jijini Dar es...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA, COSTECH kuendeleza Tehama

MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imefikia makubaliano na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuanzisha na kuendeleza eneo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) nchini. Eneo...

 

11 years ago

TheCitizen

EPZA inks Sh50bn deal with Costech

The Export Processing Zones Authority (EPZA) and the Commission for Science and Technology (Costech) have inked an agreement in which they will cooperate in the development of an area in Bagamoyo for improving the country’s Information and Communication Technology (ICT) sector.

 

9 years ago

StarTV

Tanzania na Marekani zakubaliana kuendeleza ushirikiano wake

Rais wa Tanzania DK Jakaya Kikwete ameihakikishia Serikali ya Marekani kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili hautabadilika, bali utaendelea kuboreshwa zaidi hata baada ya Serikali mpya kuingia madarakani.

Aidha ameiomba Marekani kuiunga mkono Serikali ijayo pamoja na maendeleo ya Tanzania na watu wake, kama ilivyofanya katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake, kwa kuchangia uchumi wa nchi kupanda kutoka dola bilioni 14.4 hadi kufikia dola bilioni 50.

 

Rais Kikwete ameyasema hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

EPZA, TPA kuendeleza bandari Mtwara

MAMLAKA ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimefikia makubaliano ya uendelezaji wa hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo...

 

11 years ago

Michuzi

EPZA yafikia makubaliano na kampuni kuendeleza eneo huru bandari Mtwara

 Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA) imefikia makubaliano na kampuni nne za kimataifa kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali kwa kampuni kubwa zinazofanya utafiti wa mafuta na gesi katika mkoa wa Mtwara.  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt. Adelhelm Meru aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuwa hatua hiyo ni muhimu sana katika undelezaji wa eneo huru la bandari ya Mtwara.  EPZA inaendeleza hekta 10 za eneo huru la bandari ya Mtwara. Hekta...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uhamiaji:UK na Ufaransa zakubaliana

Uingereza na Ufaransa zimetia saini ya makubaliano ya ushirikiano dhidi ya kukabiliana na walanguzi wa wahamiaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Pande hasimu zakubaliana Libya

Mjumbe wa umoja wa mataifa nchini Libya anasema kuwa wawakilishi wa serikali mbili zinazozana nchini humo wameafikia makubaliano ya kisiasa.

 

9 years ago

BBCSwahili

EU, Uturuki zakubaliana suala wakimbizi

Umoja wa ulaya na uturuki wafikia makubaliano ya jinsi ya kuchukua hatua ili kuondokana na mafuriko ya wakimbizi na wahamiaji ndani ya bara la Ulaya.

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA NA SWEDEN ZAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akisalimiana na Mhe. Tanja Rasmusson, Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Kimataifa wa Sweden alipofika Wizarani leo. Mhe. Rasmusson yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuimarisha ushirikiano katika nyanja za biashara, uwekezaji, elimu, haki za binadamu na vita dhidi ya rushwa. Mhe. Rasmusson akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani