Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAPA AKUBALI KADINALI WA UFARANSA AJIUZULU

Papa Francis amekubali kujiuzulu kwa Kadinali wa Ufaransa Philippe Barbain, ambaye alikutwa na hatia na kisha kuondolewa mashitaka kwa kushindwa kuripoti madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto.

Kadinali Barbain wa Lyon mwenye umri wa miaka 69, aliomba kujiuzulu wakati mahakama ya Lyon ilipomtia hatiani kwa mara ya kwanza mnamo Machi 2019, na kumpa adhabu ya kifungo iliyoahirishwa kwa miezi sita.

Barbain alituhumiwa kushindwa kumripoti Padri Bernard Preynat polisi hata baada ya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!

IMG-20151125-WA0024

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.

Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.

Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...

 

10 years ago

BBCSwahili

Majambazi wampora kadinali Brazil

Watu waliokuwa wamejihami wamemuibia Askofu mkuu wa Rio de Janeiro nchini Brazil msalaba wake na pete

 

9 years ago

Michuzi

KADINALI PENGO AZUNGUMZIA SWALA LA UKATILI WA JINSIA

Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu Dar es Salaam, Mwadhama Polycap Kadinali Pengo (kushoto), akizungumza kuhusiana na kampeni ya siku 16 za kupambana na ukatili wa kijinsia na waandishi wa habari na wanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria (WLAC), nyumbani kwake, Kurasini Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha na Joseph Zablon.
Wakati Tanzania kesho inazindua kampeni ya kuzuia ukatili wa kijinsia, Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu Dar es Salam, Mwadhama, Polycarp Kadinali...

 

11 years ago

GPL

PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo. Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.…

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA AZIRAI AKIHOJIWA NA POLISI, NI KUFUATIA MANENO YA KASHFA DHIDI YA KADINALI PENGO

Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam leoGwajima akizungumza na waandhishi wa habari alipowasili kituo kikuu cha polisi kati jijini Dar es Salaam Ijumaa Machi 27, 2015, kufuatia polisi kumtaka ajisalimishe mwenyeweGwajima, wakili wake, wafuasi na walinzi wake wakielekea kituo kikuu cha polisi kati Ijumaa Machi 27, 2015Gwajima kabla ya kuzirai
Kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amezirai Ijumaa...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MUADHAMA KADINALI POLYCARP PENGO ANAYEFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA YAKE MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo alielazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo January 1, 2016. Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake. PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA RASMI UKUMBI WA MIKUTANO WA MWADHAMA LAUREAN KADINALI RUGAMBWA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashamu Askofu Tarcius Ngalekumtwa, wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay kwa ajili ya kuhudhuria ghafla ya makabidhiano ya ukumbi huo jana jioni. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mwadhama Polycap Kadinali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchimbi akubali yaishe

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa yeye na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari wakati wa kutekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani