Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Papa atimua Makadinali

MAKADINALI wote isipokuwa mmoja waliokuwa wakisimamia benki ya Vatican wamefutwa kazi na Papa Francis. Waliokumbwa na ‘fagio hilo la chuma’ ni makadinali wanne ambao ni pamoja na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Kadinali Tarcisio Bertone SDB, Kadinali Odilo Scherer kutoka Brazil, Telesphore Toppo kutoka India na Domenico Calcagno kutoka Vatican.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awateua makadinali 20 wapya

Papa Francis amewachagua makadinali 20 wapya wakiwemo kutoka mataifa ya Tonga,Ethiopia na Myanmar.

 

11 years ago

GPL

PAPA FRANCIS ATEUA MAKADINALI 19 VATICAN

Makadinali wapya 19 wameteuliwa na Papa Francis leo kwenye sherehe iliyofanyika Vatican ikihudhuriwa na Papa mstaafu Benedict XVI. Uteuzi huo ni wa kwanza kwa Papa Francis tangu achukue nafasi ya kuliongoza Kanisa Katoliki. Ameteua makadinali hao kutoka nchi 12 zikiwemo Ivory Coast, Haiti na Burkina Faso.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nchi changa zapata makadinali kadha

Papa Francis ageuza dira kuelekea ambako Kanisa Katoliki lina nguvu

 

9 years ago

Dewji Blog

#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!

IMG-20151125-WA0024

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.

Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.

Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...

 

11 years ago

GPL

PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo. Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.…

 

11 years ago

Habarileo

Mwakyembe atimua watumishi wizara 3

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeWATUMISHI 13 wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wametimuliwa kazi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, kwa tuhuma za kuchafua sura ya nchi mbele ya Jumuiya ya Kimataifa, kuendekeza rushwa na kunyanyasa raia wa kigeni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Netanyahu atimua mawaziri wawili Israel

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amewatimua mawaziri wawili kwa tuhuma za kula njama dhidi yake

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu atimua askari wastaafu wa Marekani

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana juu ya askari wastaafu wa Marekani wanaodai kuwepo nchini kupambana na ujangili. (Na Mpigapicha Wetu).WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amekipiga marufuku kikundi cha wanajeshi wastaafu wa Marekani (Vetpaw) ambacho kinadai kupambana na majangili nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Mugabe atimua mawaziri wake

Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe, amewafukuza kazi mawaziri wake wawili na manaibu waziri watano hatua ambayo imemkumba pia aliyekuwa makamu wake Joyce Mujuru.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani