Papa Francis amruhuru Padri Kuoa
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZHLjcrNkSLE/U_MguTwh3II/AAAAAAAGAsQ/AlboTAcXGO0/s72-c/papa.jpg)
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekubali kumuondolea sakramenti ya upadri, Padri Raymond Mosha wa Jimbo la Katoliki la Moshi ikiwa ni miaka 20 tangu padri huyo aombe kujiondoa kwenye daraja hilo.
Barua ya uamuzi wa Papa Francis ilisomwa jumapili ya juzi katika parokia na vigango vyote vya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi wakati wa ibada za jumapili zilifanyika katika makanisa ya jimbo hilo.
Miongoni mwa parokia ambazo barua hiyo ilisomwa ni Parokia ya Karanga ambako Paroko...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzeDTM8JGar9keMOiQ8XWLPv1Cgrwlub62tUI-r0rM0yGPo79NP-N1JGzndaEYB4YryG4j6reWCel1W8SkK9zGql/popefrancis.jpg)
PAPA FRANCIS AMRUHUSU PADRI WA JIMBO LA MOSHI KUOA
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Papa amruhusu Padri Mosha kuoa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Yn8z8hshnSzsmEtFULgSqp7EIBWm7u0rI*VBAzV1JlzKMK0G39aR9ZRgi0dRgkTMKHnbPqQEWFmYuuwHhcmY9P/1.jpg?width=650)
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
10 years ago
StarTV30 Dec
Padri Nicholaus Segeja ateuliwa mshauri wa Papa.
Na Jacob Marcus,
Mwanza.
Baba Mtakatifu Francis amemteua Padri Nicholaus Segeja kutoka Tanzania kuwa miongoni mwa wajumbe wa tume yake ya kimataifa ya kumshauri masuala ya kiimani kwa kipindi cha miaka mitano.
Padri Segeja ambaye ni mhadhiri wa chuo kikuu cha kanisa katoliki cha Afrika Mashariki kilichopo Nairobi Kenya amepata uteuzi huo akiwa amebobea katika elimu ya kanisa inayohusu uchungaji wa kanisa katoliki.
Akizungumzia uteuzi huo ambao ni wa kwanza katika ukanda wa Afrika...
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Papa Francis kumfufua Nyerere
*Mama Maria Nyerere atangulia Uganda
NA MWANDISHI WETU
ZIARA ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis nchini Uganda imetajwa kuwa itafufua mchakato wa kumtangaza Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuwa mtakatifu.
Kwa mujibu wa mtandao wa ETN wa nchini Uganda, ziara hiyo ya kitume ya Papa Francis itamfikisha katika eneo la Namugongo ambalo mashahidi wa imani ya dini ya Kikristu walichomwa moto.
Ni katika eneo hilo la Namugongo ambako Hayati Nyerere alitangazwa kuwa...
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Papa Francis azungumzia familia
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Obama kukutana na Papa Francis
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Papa Francis na uongozi wa kipekee
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Papa Francis atoa Mpya