Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAPA FRANCIS AMRUHUSU PADRI WA JIMBO LA MOSHI KUOA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis. KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekubali kumuondolea sakramenti ya upadri, Padri Raymond Mosha wa Jimbo Katoliki la Moshi ikiwa ni miaka 20 tangu padri huyo aombe kujiondoa kwenye daraja hilo. Barua ya uamuzi wa Papa Francis ilisomwa Jumapili ya juzi katika parokia na vigango vyote vya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi wakati wa ibada za Jumapili zilifanyika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Papa amruhusu Padri Mosha kuoa

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekubali kumuondolea sakramenti ya upadri, Raymond Mosha wa Jimbo Katoliki la Moshi ikiwa ni miaka 20 tangu padri huyo aombe kuachana na daraja hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Papa Francis amruhuru Padri Kuoa

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekubali kumuondolea sakramenti ya upadri, Padri Raymond Mosha wa Jimbo la Katoliki la Moshi ikiwa ni miaka 20 tangu padri huyo aombe kujiondoa kwenye daraja hilo. 
Barua ya uamuzi wa Papa Francis ilisomwa jumapili ya juzi katika parokia na vigango vyote vya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi wakati wa ibada za jumapili zilifanyika katika makanisa ya jimbo hilo. 
Miongoni mwa parokia ambazo barua hiyo ilisomwa ni Parokia ya Karanga ambako Paroko...

 

9 years ago

Michuzi

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashama Paulo Ruzoka Kuongoza ujumbe wa Tanzania kumuona Papa Francis Uganda


Na Joseph Ishengoma, MAELEZOAskofu Mkuu wa jimbo kuu la Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka (pichani) kesho (tarehe 27.11.2015) anatarajia kuongoza ujumbe wa Tanzania kwenye ziara ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francis nchini Uganda.Baba Mtakatifu Francis anatarajia kuwasili nchini Uganda kesho kwa ziara ya siku mbili akitokea Kenya kabla ya kuelekea Afrika ya Kati.Hii ni ziara ya kwanza kwa kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kutembelea Bara la Afrika tangu...

 

11 years ago

GPL

PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo. Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.…

 

10 years ago

StarTV

Padri Nicholaus Segeja ateuliwa mshauri wa Papa.

Na Jacob Marcus,

Mwanza.

Baba Mtakatifu Francis amemteua Padri Nicholaus Segeja kutoka Tanzania kuwa miongoni mwa wajumbe wa tume yake ya kimataifa ya kumshauri masuala ya kiimani kwa kipindi cha miaka mitano.

 

Padri Segeja ambaye ni mhadhiri wa chuo kikuu cha kanisa katoliki cha Afrika Mashariki kilichopo Nairobi Kenya amepata uteuzi huo akiwa amebobea katika elimu ya kanisa inayohusu uchungaji wa kanisa katoliki.

 

Akizungumzia uteuzi huo ambao ni wa kwanza katika ukanda wa Afrika...

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama kukutana na Papa Francis

Rais wa Marekani ,Barrack Obama anatarajiwa kukutana na kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ziara ya Papa Francis, Kenya

Serikali ya Kenya imethibitisha kukamilika kwa maandalizi ya kumpokea kiongozi wa kanisa katoliki papa Francis.

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis azungumzia familia

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani ameunga mkono haki ya wazazi kuchagua ukubwa wa familia zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Papa Francis na uongozi wa kipekee

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Francis ametimiza mwaka mmoja tangu alipochaguliwa kushika wadhifa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani