Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAPASO: MC Pilipili akielezea safari yake ya uchekeshaji ilivyoanza

Mchekeshaji wa Tanzania MC Pilipili wiki hii alikuwa mgeni wa kipindi cha Papaso kupitia TBC Fm. Amezungumzia safari yake ya uchekeshaji ilivyoanza na mengine mengi.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TBL ilivyoanza safari ya ‘Hwk Hamburg’ Tanzania

KATIKA kasi ya mabadiliko ya uchumi wa Tanzania, ujuzi wa kazi ni moja ya mahitaji makubwa, lakini cha kusikitisha ni kwamba kwa kiasi kikubwa ujuzi huu tunaupata kutoka nchi za...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI LAGER YAZINDUA RASMI PROGAMU YAKE YA “SAFARI LAGER WEZESHWA” KWA MSIMU 4 JIJINI DAR LEO

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa programu ya Safari Wezeshwa msimu wa nne uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jaji wa programu hiyo, Joseph Migunda. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwaonyesha kipeperushi kinachoonyesha kitika cha shilingi 2200,000 000/= zitakazogawiwa kwa wajasiliamali wakati wa uzinduzi wa programu ya Safari Wezeshwa msimu wa nne...

 

5 years ago

Michuzi

NAMNA BIASHARA YA UTUMWA ILIVYOANZA KWA KUUZA WAFUNGWA IRISH

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVBIASHARA ya utumwa nchini Irish ilianza kwa binadamu kuuzwa, wakati wa utawala wa Mfalme James wa pili aliruhusu kuuzwa kwa wafungwa 30,000 wakiwemo wanaume, wanawake na mabinti wadogo.
Katika miaka ya 1660 Irishi ilikua kitovu cha biashara ya utumwa na wengi wao waliuzwa katika maeneo ya Antigua na Montserrat na kwa wakati huo asilimia 70 ya watu Montserrat walikuwa watumwa kutoka Irish.
Irish imeandikwa katika historia kwa kuwa kitovu  cha biashara ya wanadamu...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa aanza safari yake

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akihutubia umati wa wananchi mjini Arusha jana wakati akitangaza nia ya kuomba ridhaa ya CCM kumteua agombee Urais. (Na Mpigapicha Wetu).ALIYEKUWA Waziri Mkuu, Mbunge wa Monduli mkoani Arusha, Edward Lowassa, ametangaza nia ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili awe mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rodman atetea safari yake Korea

Dennis Rodman anazuru Korea Kaskazini kushiriki mchezo wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa nchi huyo Kim Jong-Un

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani