Papa:Wanandoa wasiotaka watoto ni walafi
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis amesema kuwa wanandoa wasio na watoto ni chanzo cha kizazi cha ulafi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo28 Dec
China wameamua mabadiliko kuanzia January 2016 kuhusu idadi ya watoto kwa wanandoa..
Tunajua na imekuwa ikifahamika kwamba kwa kipindi kirefu China wamekuwa na utaratibu wa kila wanandoa au wapenzi kuruhusiwa kuwa na mtoto mmoja tu… japo China wana Sheria hiyo bado ni nchi inayoongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi duniani !! Kwa sasa China ina jumla ya watu Bilioni 1.35 ikifatiwa na India yenye watu bilioni 1.25… […]
The post China wameamua mabadiliko kuanzia January 2016 kuhusu idadi ya watoto kwa wanandoa.. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Watoto wapewa jina la Papa Kenya
10 years ago
Habarileo04 Sep
JK: Viongozi walafi wanasababisha ugaidi
RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kusisitiza umuhimu wa wananchi kupata fursa bila ubaguzi ya kunufaika na rasilimali za taifa lao, ambapo mara hii, ameonya kuhusu kitendo cha sehemu ya jamii kunufaika zaidi katika taifa na wengine kujihisi wanadhulumiwa.
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Motto: CCM inaponzwa na walafi, wapenda madaraka
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Wasiotaka kujitenga Scotland waongoza
11 years ago
Mwananchi06 May
CUF: Wasiotaka Serikali ya Umoja wafukuzwe
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.
Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.
Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Yn8z8hshnSzsmEtFULgSqp7EIBWm7u0rI*VBAzV1JlzKMK0G39aR9ZRgi0dRgkTMKHnbPqQEWFmYuuwHhcmY9P/1.jpg?width=650)
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
5 years ago
MichuziWAZIRI LUKUVI ATAKA MAAFISA ARDHI KUWAFUATILIA WAMILIKI WASIOTAKA KUCHUKUA HATI ZA ARDHI