PARIS HILTON: SINA HAJA YA KUTEMBEA NA VIVULANA VIDOGO

Mwimbaji wa Pop, Paris Hilton. Los Angeles,Marekani MWIMBAJI wa Pop, Paris Hilton, amezindua video ya wimbo wake mpya unaoitwa High Off My Love, ambao amemshirikisha rapa, Bryan Williams ‘Birdman’ lakini kile alichosema ndicho kimekuwa gumzo wakati wa uzinduzi huo. Uzinduzi wa wimbo huo wa Hilton, 34, ulienda sambamba na uzinduzi wa mavazi yake ya ndani kwa wanawake. “Kwa sasa mimi nimeshakuwa mtu mzima,...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Contactmusic.Com10 Apr
Paris Hilton | Paris Hilton's family donate $10M towards Covid-19 relief efforts
10 years ago
Bongo511 Mar
Video: Paris Hilton akiigiza kupata ‘orga*m’ mbele ya umati wa watu
10 years ago
Bongo516 Sep
Picha: Flaviana Matata na Rosemary Kokuhilwa wajichanganya na Paris na Nicky Hilton kwenye New York Fashion Week
10 years ago
Mtanzania06 Feb
Sina haja ya kutumia fedha kumnadi mtu — Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa Zamani Edward Lowassa, amekanusha taarifa zilizochapishwa na gazeti moja la kila wiki iliyosema “Lowassa apanga safu”, akisema hana haja ya kufanya hivyo wala kutumia fedha kumnadi mgombea yeyote.
Taarifa iliyotolewa ofisi yaje jana, ilisema habari hiyo ilijengwa na taswira ya uongo kwamba kuna mpango wa kupanga nani atagombea ubunge katika Jimbo la Monduli baada ya Lowassa kumaliza muda wake.
“Taarifa hiyo potofu ilikuwa na lengo la kumshushia...
11 years ago
Michuzi
HILTON WORLDWIDE OPENS DOUBLETREE BY HILTON ZANZIBAR

“Stone Town is a city of prominent historical and artistic importance, and we are proud to enter as the first global hotel brand in the city. Our newest hotel offers a perfect marriage of culture and comfort, underscored by DoubleTree by Hilton’s...
11 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI NAGU ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MITAMBO YA VIWANDA VIDOGO VIDOGO
.jpg)
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Amuua mama mzazi na kukata mwili vipande vidogo vidogo
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MTU mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Erasto Lwiza (27) amemuua mama yake mzazi, Magreth Lwiza (50), kwa kumkatakata mapanga mwili wake na kuugawa vipande vidogo vidogo.
Tukio hilo limetokea juzi Mtaa wa Butiama, eneo la Vingunguti, ambapo mtuhumiwa ambaye ni marehemu kwa sasa alitekeleza unyama huo kabla hajauawa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kabla marehemu Erasto hajamuua mama yake alianza kumshambulia kwa visu na mapanga mwanamke aliyetambuliwa kwa...
9 years ago
MichuziSERIKALI YAHIMIZA UJENZI WA VIWANDA VIDOGO VIDOGO NCHINI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Seleman Jaffo alitoa kauli hiyo tarehe 22 Decemba, 2015 wakati alipotembelea taasisi zilizo chini ya Wizara yake ambazo LAPF, na Bodi ya Mikopo ya...
11 years ago
Dewji Blog10 Jun
Mkuu wa Mkoa wa Arusha awataka wajasiriamali wa viwanda vidogo vidogo kutengeneze bidhaa zenye ubora
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la Wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya SIDO.
Baadhi ya bidhaa za Shanga zilizopo katika maonyesho ya SIDO.
Mkurugenzi wa Taha, Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwa na Shanga zilizopo katika viwanja vya Makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka viwanda vidogo vidogo.
Wahazabe wakiendelea kutengeneza Mikuki yao.