Sina haja ya kutumia fedha kumnadi mtu — Lowassa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu wa Zamani Edward Lowassa, amekanusha taarifa zilizochapishwa na gazeti moja la kila wiki iliyosema “Lowassa apanga safu”, akisema hana haja ya kufanya hivyo wala kutumia fedha kumnadi mgombea yeyote.
Taarifa iliyotolewa ofisi yaje jana, ilisema habari hiyo ilijengwa na taswira ya uongo kwamba kuna mpango wa kupanga nani atagombea ubunge katika Jimbo la Monduli baada ya Lowassa kumaliza muda wake.
“Taarifa hiyo potofu ilikuwa na lengo la kumshushia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKlsPH1AG5pe-Jr0Zcidv*UBsy2Ms8ZJjmcrw-vNv-C9I1ElNqYOtomc3x9YlzPqf0wB58v3h53X7quN9HDEL6M0/parishiltonnightoutstyleleavesthepalmrestaurantinlosangelesfebruary2015_6.jpg?width=650)
PARIS HILTON: SINA HAJA YA KUTEMBEA NA VIVULANA VIDOGO
9 years ago
Mtanzania08 Oct
Kingunge kumnadi Lowassa leo
NA FREDY AZZAH, LONGIDO
SIKU chache baada ya mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, kutangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo anatarajiwa kusimama kwenye jukwaa la vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi
(Ukawa) jijini Arusha kumnadi mgombea urais wa Chadema kupitia umoja huo, Edward Lowassa.
Meneja kampeni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mrema, aliliambia gazeti hili kuwa mwanasiasa huyo atahutubia mkutano huo utakaoanza mchana.
“Kesho (leo),...
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Lowassa kumnadi Lema Arusha Mjini
10 years ago
Bongo Movies12 May
Aunt Ezekiel: Sitaki na Sina Tatizo na Mtu
Kutoka Mitandaoni: Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel ameamua kuvunya ukimya fufuatia comment mablimbali za mashabiki juu ya kile kinacho daiwa kuwa urafiki wake na staa mwenzake Wema Sepetu umeyumba.
Madai ya kuyumba kwa ufafiki baina ya mastaa hao yameibuka kwa kasi baada ya hivi juzi kati kufanyika kwa baby shower ya Aunt na Wema kutokuwepo kwenye pati hiyo, kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa mastaa hao wamekuwa wakihoji ina wezekana vipi Wema kukosa kwenye pati hiyo.
Kifuatia...
10 years ago
Habarileo18 Nov
Serikali yaona haja ya kuongeza fedha CDCF
SERIKALI imekiri kuwa kuna haja ya kuongeza fedha za Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo (CDCF) kutokana na faida na manufaa yake kwa jamii.
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya corona: Je ipo haja ya kutumia vidonge vya vitamin D?
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Lowassa: Sina mpango wa kushindwa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema hana mpango wa kushindwa.
Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya CCM mjini hapa jana saa 10:20 jioni akiambatana na mkewe, Regina huku akisindikizwa na wabunge mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama waliokuwapo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mara baada ya kuchukua...
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Lowassa: Sina tena rafiki CCM
10 years ago
Mwananchi10 Nov
Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia