Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PARTY YA KUKARIBISHA MWAKA 2015 DMV



UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV UNA FURAHA KUWAKARIBISHA KWENYE SHEREHE YA KUKARIBISHA MWAKA 2015TAREHE 31/12/2014 SAA 1:00 USIKU HADI SAA9 ALASIRI********************************************  KARIBUNI NYOTE TUJUMUIKE NA MGENI WETU RASMI BALOZI WA UMOJA WA NCHI ZA AFRIKA MAREKANI, MHE. AMINA SALUM-ALI   

          
USIKU HUU UTAJUMUISHA  YAFUATAYO;
UFAFANUZI  MURUA KUTOKA KWA IMMINGRATION LAWYER KUHUSU SHERIA  ZA UHAMIAJI  ZILIZOPITISHWA  CHINI YA UONGOZI WA MHE. RAIS BARACK...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DMV 2015 NEW YEAR PARTY


Pia Kutakuwa na :1. Mwanasheria wa Uhamiaji atakaezungumzia - Sheria Mpya iliyosainiwa na Rais Obama2. Mheshimiwa Kadari Singo- Mjumbe wa Bunge la Katiba atazungumzia Swala zima la Dual Citizenship na Tanzania3. Uchangiaji wa chombo cha Kuzuia Malaria4. Vyakula Vya Kitanzania5. Bongo Flava Mpaka Asubuhi


CASH BAR

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

Dkt Shein Atoa salamu Kwa Wananchi Kukaribisha Mwaka Mpya na habari zingine kupitia simu TV



Wachezaji wa klabu ya Simba jana wamelionja joto la jiwe baada ya mashabiki wa Ndanda FC kuwavamia wachezaji wakati wa mazoezi.  https://youtu.be/6kqjr9XjQ00
Timu ya CDA imetupwa nje katika mashindano ya kombe la shirikisho baada ya kupokea kichapo cha bao 1 toka kwa Singida United.  https://youtu.be/KmxQHdfWOqUSerikali imetoa tamko kuwa itaendelea kuwalipa mishahara makocha wote  wa timu za taifa   https://youtu.be/Ochi73k6Q64Fahamu mengi kutoka kwa Mch. Samwel Maela akikufundisha mengi...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

DMV- SAVE THE DATE: NEW YEAR PARTY AND NETWORKING GATHERING , DECEMBER 31, 2014

SAVE THE DATENEW YEAR PARTY AND NETWORKING GATHERINGWEDNESDAY, DECEMBER 31, 2014
OXFORD EVENT CENTER10PM-3AM


 

11 years ago

GPL

SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA DMV

Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Abbas Missana akitoa salamu za mwaka mpya kwa Watanzania DMV na marafiki zao kwa niaba ya Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula.
Wanajumuiya wanaojitoa katika majukumu mbalimbali ya Jumuiya wakipatiwa vyeti.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani