Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Paul Makonda kaushtukia huu mchezo wa ufisadi Kinondoni, maamuzi yake je?…(+Video)

Kasi ya Rais John Pombe Magufuli kuhakikisha kila mtu anafanya kazi kwa uadilifu imeendelea kushika kasi hata kwa baadhi ya viongozi wa sekta mbalimbali, na leo Dec 17 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Dc Paul Makonda amekutana na waandishi wa habari na kuzungumzia maamuzi aliyo yafanya kwa wakandarasi waliotaka kutumia vibaya fedha za umma. […]

The post Paul Makonda kaushtukia huu mchezo wa ufisadi Kinondoni, maamuzi yake je?…(+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA, AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA YAKE MSANII STEVE NYERERE

 Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele.
 Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele (katikati), akiwa na wadogo zake Steve Nyerere wakati akiwasili makaburi ya Kinondoni kwa mazishi ya mpendwa wao, Francis Mengele. Watoto wa marehemu na dada zake wakiwa kwenye ibada ya maziko makaburi ya Kinondoni. Ibada ya maziko ikiendelea. Hali ilivyokuwa wakati wa mazishi.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.
 DC Makonda akisisitiza jambo katika uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk.Aziz Msuya, Diwani...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA KUSOMESHA YATIMA 12



MKUU wa Wilaya  ya Kinondoni,  Paul Makonda (pichani), ameahidi kusomesha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu 12, ikiwa ni kuwalipia ada  za shule.
Hayo aliyabainisha Dar es Salaam jana wakati  Kampuni ya Simu za mkononi Zantel ikikabidhi kisima cha maji safi katika kituo cha kulea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo  Mbezi Suka jijini Dar es Salaam.
Watoto hao 12, ambapo 8 kati yao wana elimu ngazi ya sekondari huku 3 wakitakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

PAUL MAKONDA AUNDA KAMATI YA KUSHUSHUGHULIKIA MIGOGORO YA ARDHI KINONDONI


Mh. Paul Makonda
Mkuu wa Wilaya la KinondoniMkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema kuwa wilaya ya Kinondoni inakabiliwa na changamoto migogoro ya ardhi ambayo inatakiwa kila mtu ambaye amenyimwa haki ya ardhi watapata kutokana na utaratibu uliopo.
Makonda aliyasema hayo hivi karibuni wakati ziara ya kutembelea wilaya hiyo, Makonda alisema asili ya migogoro hii inatokana hasa na mgongano wa uhalali wa umiliki pamoja na uvamizi wa maeneo ya wazi yaliyotengwa maalumu kwa shughuli za...

 

10 years ago

CloudsFM

Paul Makonda kusaka vipaji kupitia Kinondoni Talent Search

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ameitisha waandishi wa habari na kutangaza kuwa ameanzisha Kinondoni Talent Search ambayo itahusika kusaka vipaji vya watoto wenye vipaji kama; Kucheza, Kuimba, Kuchekesha na vinginevyo.
Akizungumza na waandishi wa leo alisema; “Kinondoni Talent Search ni mpango wenye lengo kuu la kuwatambua vijana waishio kwenye wilaya ya Kinondoni wenye vipaji vya kuimba, Kuchekesha ambao wengi wao wapo katika mazingira magumu ya kiuchumi jambo linalowafanya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo, wakati akipokea msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka Kampuni ya Tanzania Sisi Nyumbani (TSN) wa ajili ya mashindano ya Kinondoni Cup yatakayoanza Juni 2015 katika wilaya hiyo. Meneja wa Kinywaji cha Chilly Willy  Kinachosambazwa na Kampuni ya TSN, Khamis Tembo (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi...

 

10 years ago

Michuzi

Paul Makonda aapishwa leo kuwa mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni

Mkuu Mpya wa Wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda (kulia) akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Mh. Said Meck Sadick leo jijini Dar.

 

10 years ago

Dewji Blog

DC wa Kinondoni, Paul Makonda azungumzia maafikiano yaliyofikiwa kumaliza mgomo wa madereva nchini

IMG_3707

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maafikiano hayo.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maafikiano hayo.

IMG_3656

Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo.

Na Dotto Mwaibale

 MKUU wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema Serikali  imetimiza masharti ya madereva kwa kuunda kamati ya kushughulikia kero na matatizo ya madereva ambayo inatarajia kuanza kazi yake Ijumaa.

Hatua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani