Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pazia la Spika CCM lafungwa

PAZIA la kuwania nafasi ya Spika na Naibu Spika kupitia Chama Cha Mapinduzi, limefungwa jana saa kumi jioni katika Ofisi Ndogo ya chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam, huku wanachama waliojitokeza kuwania nafasi hizo wakibakia wale wale 22 wa juzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM kufungua pazia

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli leo anafungua rasmi pazia la kampeni za siku 61 za chama hicho kwenye Uwanja wa Jangwani katika tukio linalotarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wakiwamo vigogo mbalimbali wa chama hicho tawala.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanne wafungua pazia la fomu za urais CCM

Pazia la Chama cha Mapinduzi (CCM) kupata mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba limefunguliwa rasmi jana mjini Dodoma.

 

11 years ago

GPL

KANISA LAFUNGWA!

Stori: Issa Mnally na Richard Bukos JAMBO limezua jambo! Kuhusu kilichotokea baada ya yule baba mchungaji wa Kanisa la Living World Ministry lililopo Ukonga-Majumba Sita jijini Dar, Michael Semeni kudaiwa kufumaniwa na mke wa mtu ni kwamba kanisa hilo limefungwa. Baba Mchungaji wa Kanisa la Living World Ministry lililopo Ukonga-Majumba Sita jijini Dar, Bw. Michael Semeni mara baada ya fumanizi. Habari ya mchungaji huyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dirisha la Usajili lafungwa England

Dirisha la kimataifa la usajili limefungwa huku Man united wakiibuka kidedea kwa kumnyakua Radamel Falcao kwa paundi milioni 6

 

9 years ago

Mtanzania

Zungu: CCM itaamua Spika wa Bunge

azani+zunguNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MBUNGE mteule wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM) amesema kwa sasa hawezi kuzungumzia mbio za kuwania Spika wa Bunge hadi chama chake kitakapotoa utaratibu.

Amesema pamoja na baadhi ya makada wenzake wa CCM kuanza kujipitisha   kuwania nafasi hiyo  kwake anaamini  CCM ndicho kitatoa utaratibu wa kupatikana spika.

Zungu alitoa kauli hiyol Dar es Salaam jana alipozungumza na MTANZANIA baada ya jina la mwanasiasa huyo kutajwa katika  kuwania uspika wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Spika Makinda apandisha joto la urais CCM

anne-makindaEVANCE MAGEGE NA AGATHA CHARLES

Spika wa Bunge, Anne Makinda, amesema mgombea uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) anatarajiwa kuteuliwa hivi karibuni.

Amesema katika kipindi cha siku chache zijazo vikao vya uteuzi vya CCM vitaanza vikao vyake na vitahitimishwa na mkutano mkuu ambao utateua mgombea wa chama hicho.

Spika Makinda aliyasema hayo jana, wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa siku moja wa Maspika wa Mabuge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),...

 

9 years ago

CCM Blog

DK. TULIA ACKSON APITA UNAIBU SPIKA CCM

 Dk. Tulia Ackson amepita bila kupingwa baada ya kuchaguliwa na wabunge wa CCM kugombea nafasi ya Unaibu Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Unaibu spika Bahati Abeid akizungumza mbele ya wabunge wa CCM.
 Mhe. Mariam Kisangi akizungumza mbele ya wabunge wa CCM kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo yeye pamoja na Bahati Abeid walijitoa na kumpa nafasi Dk.Tulia Ackson kupita bila kupingwa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongea...

 

10 years ago

Mwananchi

Naibu Spika adaiwa kumpiga mgombea CCM

Dodoma. Kampeni za wagombea ubunge wa Jimbo la Kongwa juzi zilikumbwa na tafrani baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kudaiwa kumchapa fimbo na baadaye kumpiga ngumi mgombea mwenzake aliyeanguka na kuzirai.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Spika m-serikali, Msajili m-CCM, taifa linayumba

HAKUNA siri tena kuwa taifa letu hivi sasa linapita katika kipindi kigumu cha uhaba wa ajira, umasikini na uongozi mbovu. Vyote hivi kwa kiasi kikubwa vimesababishwa na uwajibikaji dhaifu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani