Spika m-serikali, Msajili m-CCM, taifa linayumba
HAKUNA siri tena kuwa taifa letu hivi sasa linapita katika kipindi kigumu cha uhaba wa ajira, umasikini na uongozi mbovu. Vyote hivi kwa kiasi kikubwa vimesababishwa na uwajibikaji dhaifu wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Msajili wa vyama afute usajili wa CCM
WAHENGA walisema “mkataa kikoa ni mchawi.” Mtu anayekataa kushirikiana na wenzake ni kama mchawi. Methali hii yatunasihi tusiwe na tabia ya kutoshirikiana na wenzetu. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha dhahiri...
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Spika, hutakwepa dhambi ya kulibomoa taifa
MARA mbili katika kipindi cha chini ya miaka miwili, Bunge la Tanzania limeonyesha vioja kwa kugeuka jukwaa la kutetea maslahi ya wenye nguvu – wanasiasa, wafanyabiashara wakubwa, mafisadi na wawekezaji matapeli.
Mara ya kwanza ni mwaka jana (2014), pale Bunge Maalumu la Katiba lilipoichana chana Rasimu ya Mapendekezo ya Katiba ya Tume ya Jaji Joseph Sinde Warioba, yaliyotokana na wananchi na badala yake likapandikiza chini ya usimamizi wa Spika, kwa sehemu kubwa, ibara zenye kutetea...
10 years ago
Vijimambo23 Apr
Msajili avipiga mkwara CCM, Chadema, CUF
Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama kurekebisha katiba zao kwenye kipengele kinachoruhusu kuanzishwa kwa vikosi vya ulinzi na usalama.Vyama vyenye vikosi cha ulinzi na usalama ni Chadema chenye Red Brigade, CCM (Green Guard), CUF (Blue Guard) na sasa ACT-Wazalendo (ACT Amani).Mutungi alisema uanzishwaji wa vikundi hivyo unakwenda kinyume na Katiba ya nchi inayolipa jeshi la polisi mamlaka ya...
5 years ago
MichuziSPIKA WA BUNGE KUZINDUA PROGRAMU YA KULIOMBEA TAIFA, RAIS MAGUFULI
Kiongozi Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Joshua Aram Mwantyala akikagua Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Chuo cha Mipango Dodoma kwa ajili ya kongamano.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kesho anatarajiwa kuzindua Programu ya Kitaifa ya Kuliombea Taifa ambayo inalenga kumshirikisha Mungu vipaumbele na sera zinazotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano ili matokeo chanya yazidi kuonekana kila sekta.
Uzinduzi huo utafanyika jijini Dodoma katika Chuo...
11 years ago
GPLTAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Serikali ilipuuza ushauri wa Spika
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.
9 years ago
Habarileo15 Nov
Pazia la Spika CCM lafungwa
PAZIA la kuwania nafasi ya Spika na Naibu Spika kupitia Chama Cha Mapinduzi, limefungwa jana saa kumi jioni katika Ofisi Ndogo ya chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam, huku wanachama waliojitokeza kuwania nafasi hizo wakibakia wale wale 22 wa juzi.
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Zungu: CCM itaamua Spika wa Bunge
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MBUNGE mteule wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM) amesema kwa sasa hawezi kuzungumzia mbio za kuwania Spika wa Bunge hadi chama chake kitakapotoa utaratibu.
Amesema pamoja na baadhi ya makada wenzake wa CCM kuanza kujipitisha kuwania nafasi hiyo kwake anaamini CCM ndicho kitatoa utaratibu wa kupatikana spika.
Zungu alitoa kauli hiyol Dar es Salaam jana alipozungumza na MTANZANIA baada ya jina la mwanasiasa huyo kutajwa katika kuwania uspika wa...