Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PBZ WASHIRIKI MKUTANO WA 6 WA ASIA ISLAMIC BANK, KUALA LUMPUR, MALAYSIA

Ujumbe wa PBZ ukiongozwa na mwenyekiti wa Bodi ya PBZ, Abdulrahman Mwinyi Jumbe (kulia) ukifuatilia kwa makini mada zinazotolewa kwenye mkutano wa 6 wa Asia Islamic Banking, uliofanyika katika hoteli ya Inter Continental Kuala Lumpur, MalaysiaWashiriki wa mkutano wa 6 wa Asia Islamic Banking, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mkutano wa siku mbili tarehe 12-13 Agosti 2015 uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental, Kuala Lumpur, Malaysia

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Advance Transformational Leadership for Women's Empowerment Workshop held n Kuala Lumpur, Malaysia

A course  on "Adavanced Transformational Leadership for Women's Empowerment" was recently held in Kuala Lumpur, Malaysia, and  attracted 20 Senior and Director's level participants from various Ministries, Departments and Organizations from Tanzania. This course was organised by TaGLA, under the stewardship of Mrs Deodatha Makan Board Member of TaGLA and DAP of Treasury.The Course facilitator was Ms. Shanta Nagendram (SkillFocus Consultancy from Malaysia). During the closing ceremony,...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania yafana jijini Kuala Lumpur,Malaysia

Watanzania waishio nchini Malaysia hivi karibuni walikutana pamoja katika hafla ya kusherehekea maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zilizofanyika katika Hotel ya Prince jijini Kuala Lumpur- Malaysia,chini ya uongozi wa Balozi Dr. Aziz Ponary Mlima. Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo alikuwa ni Naibu Waziri wa Usafiri na Uchukuzi wa Malaysia Dato Ab. Aziz Kaprawi. Balozi wa Tanzania nchini Malaysia,Dr. Aziz Ponary Mlima pamoja na Maafisa wa Ubalozi wakiwakaribisha wageni waalikwa.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AWASILI MALAYSIA NA KUTEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA TRENI CHA SMH RAIL MJINI KUALA LUMPUR

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa watoto wa wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia mara baada ya kuwasili kwenye Hoteli ya Royale Chulan iliyopo Kuala Lumpur, Mji Mkuu wa Malaysia tarehe 23.7.2015. Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkurugenzi Mkuu wa SMH Rails Bwana Narayanan Kuppusamy mara baada ya kuwasili kwenye karakana ya treni iliyoko Kuala Lumpur nchini Malaysia Tarehe 24.7.2015. Mke wa...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MUUNGANO KUALA LUMPUR.

Balozi wa Tanzania Nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima na Mrs Mkola Mlima pamoja na Wafanyakazi wa Ubalozi wakiwapokea wageni katika kuadhimisha sherehe za miaka 51 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 
Sherehe hiyo iliyofanyika katika Hotel ya InterContinental Iliyopo Kuala Lumpur ilihudhuriwa na wageni 300 wakiwepo Mabalozi, wawakilishi na viongozi mbali mbali kutoka sekta binafsi na fedha waliopo hapa Kuala Lumpur na baadhi ya wanafunzi na watanzania walioweza kushiriki.
Serikali...

 

10 years ago

Michuzi

Mabalozi na Wafanyabiashara Kutoka Kuala Lumpur watembelea Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima aliwaalika Mabalozi wa nchi mbali mbali kuja kutembelea Tanzania hivi karibuni.
Mabalozi hao kutoka Kuala Lumpur Malaysia walitembelea mbuga za wanayama za Serengeti, Ngorongoro na walifanya ziara mjini Zanzibar.
Mabalozi hao ni Waheshimiwa Viorica na Constantin Nistor (Romania), Stephen Mubiru (Uganda), Dkt. Aziz Ponary Mlima(Tanzania), Isabela Mhlanga( Afrika Kusini), na Bwana Rogatius Shao (Naibu Balozi-Tanzania).Mabalozi...

 

11 years ago

Michuzi

PBZ Islamic Yatowa semina kwa Mashekh na Wafanyabiashara kuhusiana na Benk za Kiislam


 

Shekh.Ali Sharif Maalim akisoma Quran kabla ya Ufunguzi wa Semina hiyo ilioandaliwa na PBZ Islamic Bank, iliofanyika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi. Dkt. Ziddy akifungua semina ya siku moja ya kuzungumzia Bank za Kiislam, ilioandaliwa na PBZ Islamic,na kuwashirikisha Mashekh na Wafanyabiashara wa Zanzibar kuhusiana na riba, semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi.    Mkurugenzi Huduma Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Said...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Nagu amwakilisha Rais Kikwete kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Asia na Afrika, Jakarta,Indonesia

Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu (wa tatu kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Indonesia,Dkt. Aziz Ponary Mlima (wa tatu kulia), Mkurugenzi wa Asia-Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (wa pili kushoto), Afisa wa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Hatibu Makenga (kushoto), Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Indonesia, Bw. Dismass Assenga (wa pili kuliana Bwana Emmanuel Rhobi-Msaidizi wa Waziri, mara baada ya kuhudhuria...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanasayansi zaidi ya 2000 washiriki mkutano wa tabianchi, Paris Ufaransa

Royal CfCC15.jpgwPichani: Baadhi ya Wanasayansi wakifuatilia mawasilisho ya wanasayansi wenzao yaliyokuwa yakiwasilishwa katika mkutani huo ulioanza Julai 7 na kumalizika Julai 10, mwaka huu katika  ukumbi mkubwa wa makao makuu ya UNESCO, Paris, Ufaransa.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[Paris, Ufaransa] Wanasayansi zaidi ya 2500, kutoka pembe zote duniani wamekutana katika  mkutano mkubwa wa wanayasansi juu ya siku za usoni na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ‘Our Common Future Under Climate Change’....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani