Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Peremende zenye bangi zauzwa Kenya

Wizara ya afya nchini kenya imetoa orodha ya peremende, keki na biskuti bidhaa ambazo inadai zimewekwa bangi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Ni haramu kutoa peremende badala ya chenji Kenya

Benki kuu ya Kenya CBK imetoa taarifa katika magazeti ya leo nchini humo ikiyataka maduka kusita kutoa vitu mbadala vya masalio ya sarafu ya taifa hilo.

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.

Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi  kutoka nchi mbalimbali Duniani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...

 

10 years ago

Michuzi

DK. ALI MOHAMED SHEIN AMESEMA KUWA KENYA NA TANZANIA NI NCHI ZENYE UHUSIANO WA MUDA MREFU


  STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE   Zanzibar                                                                                                           29.06.2015
RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Kenya na Tanzania ni nchi zenye uhusiano wa muda mrefu hivyo kuna kila sababu za kuendelea kuimarisha na kuitekeleza Sera ya Demokrasia ya Uchumi  kwa manufaa ya pande mbili hizo.
Dk. Shein...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukuu wa Wilaya unavyogaiwa kama peremende

Ilinibidi nikae chini na kufanya fikra jadidi, hivi ni sifa gani mtu anapaswa awe nazo ili angalau achaguliwe kuwa Mkuu wa Wilaya?

 

10 years ago

Mwananchi

Silaha za kivita zauzwa mpakani

Wakati Serikali ikihaha kukabiliana na ujangili na uhalifu mwingine wa kutumia silaha ukiwamo ujambazi unaotokea maeneo mbalimbali, imebainika kuwa silaha za kivita zimeendelea kupenyezwa na kuuzwa nchini kutoka nchi jirani.

 

11 years ago

Mwananchi

ARV zauzwa mitaani Rorya

>Imebainika kuwa dawa za Serikali zikiwamo za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi zinauzwa katika maduka ya dawa baridi na maduka bubu ya watu binafsi katika Wilaya ya Rorya mkoani Mara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kondomu milioni nane zauzwa Arusha

JUMLA ya pakiti milioni 8.2 za mipira ya kiume (kondomu), zimeuzwa mkoani Arusha mwaka jana na idadi hiyo inatarajia kuongezeka mwaka huu hadi kufikia pakiti milioni 9.9. Taarifa ya matumizi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bidhaa zauzwa bila nembo ya ubora TZ

Soko la Tanzania limekuwa likipokea bidhaa kutoka ndani na nje ya nchi lakini baadhi ya bidhaa zinaarifiwa kuuzwa madukani huku zikikosa nembo za ubora.

 

9 years ago

Mtanzania

Kadi za kura zauzwa 100,000/-

voter*Wanaume wadaiwa kuiba za wake zao

 

NA ARODIA PETER, DAR ES SALAAM

ZIKIWA zimebaki siku 14 kabla ya Watanzania kupiga kura, baadhi ya watu katika Kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera wanadaiwa kununua vitambulisho vya kupigia kura vilivyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Wakazi wa kisiwa hicho walipiga simu katika gazeti la MTANZANIA wakimtuhumu mmoja wa wagombea udiwani wa Kata ya Goziba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Masaba Nkunami, kuwa ndiye kinara wa ununuzi huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani