Picha: Kutana na ‘Team No Stress’, Wafagiliwa na Wengi
Hii ni moja ya picha ambayo kwa siku mbili hizi ime ‘Trend’ sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kupokea Komenti na Likes zakutosha. Hawa ni mastaa warembo kutoka Bongo Movies, Johari na Irene Uwoya wakiwa katika pozi bomba lenye kuvutia kwa watazamaji wa picha hii.
Johari aliibandika kwenye ukurasa wake na kuandika “Nice Sunday .. team no stress” wakati Uwoya aliandika “Mimi apa na johari wanguuuuu.....tunawapendaje yaniii ni shidaaahhh”
Kiukweli wametokelezea bomba sana, sio mbaya...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-sQz0jxSRF8E/VToKVAQTuGI/AAAAAAAAsiA/Zqy4QvTuJQY/s72-c/wema%2Bsepetu990.jpg)
PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA HOSPITALI YASHUA WENGI. WENGI WAULIZA KAMA NDO AMEANZA MATIBABU YA KUPATA MTOTO
![](http://api.ning.com/files/nBD8FQWarq-4R4WFf5QoJ*rzQSw0U9KUDL31XKiP1mNjS1erGKSqtvZe1mZJKHS51JEut23QP6TvboUuWotlUSMi6vmJn78e/wemasepetu.jpg)
The socialite, The Actress kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatatizo la kutozaa kwa muda mrefu na angetamani siku moja kupata mtoto wamejitokeza madakatari wengi na kutaka kumtibu.Lakini kabla ya kuanza kumtibu amewapa angalizo kwamba wakati anaanza kutiwa akawa na mwenza wake kabisa ambae wwatukuwa wamekubaliana pale tatizo litakapokuwa limeisha tu basi mara moja waweze kupata mtoto..Hilo ndilo angalizo la Wema Sepetu ambae anatamani sana...
10 years ago
Bongo Movies09 Jul
Picha: Monalisa Amewakumbusha Wengi kwa Picha Hii
2003…..Ubatizo wa mtoto wangu wa kwanza Sonia kanisani hapo KKKT USharika wa Yombo Dovya pembeni nipo na baba mtoto aliyekuwa mume wangu ambae sasa ni marehemu George Tyson.
Hii nimependeza jamani msicheke basi.
Monalisa on instagram
10 years ago
Bongo Movies05 Feb
PICHA: Kutana na Zuwena na Erick Kutoka kwenye Movie ya Girlfriend
Ni zaidi ya miaka kumi imepita toka movie ya Girlfriend kutoka, itabaki kuwa ni moja kati ya movie aliyoleta hamasa kubwa kwa wadau kuingia kwenye utengenezaji wa filamu zakibongo,leo hii tasnia ya filamu imekua na filamu kibao zimeshatoka lakini wengi wanasema kuwa movie ya Girlfriend kwao ndio bora zaidi kwa movie za kibongo.
Wewe je unaikumbuka hii? Nani alikufurahisha zaidi? Karibu tukumbushane
9 years ago
MillardAyo27 Dec
RIP mtu mnene kuliko wote duniani, kutana na picha za mwili wake wakati wa uhai wake
Unakumbuka au umwahi kusikia zile headlines za mtu mnene kuliko wote duniani, basi imenifikia stori yake mpya japokuwa sio njema mtu wangu. Andres Moreno jamaa ambaye anashikilia rekodi ya kuwa mtu mnene duniani amefariki dunia December 25 siku ya sikukuu ya Chrismass. Stori kutoka indianexpress.com zinaeleza Andres Moreno ambaye alikuwa anatajwa kuwa na uzito wa Kilogram […]
The post RIP mtu mnene kuliko wote duniani, kutana na picha za mwili wake wakati wa uhai wake appeared first on...
10 years ago
Bongo Movies12 Dec
PICHA: Utatu Huu Umewapendeza Wengi
Naweza sema kwa siku ya leo picha hii ndio iliyopata “comments” na “Likes” nyingi zaidi kuliko picha zote zawaigizaji zilitupiwa leo mtandaoni. Nipicha inayowajumuisha mastaa watatu ambao ni waigizaji wa filamu maarufu hapa Bongo, amabao ni Kajala,Tausi na Wolper.
Mashakibi wengi wameonekana kivutiwa zaidi na picha hii kwani ndani ya muda mfupi picha hizi zilipata Likes zaidi ya elfu tano na comment zaidi ya mia tatu.
Wote kwapamoja, Kajala na Wolper waliziweke picha hizi kwenye kurasa za...
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Picha za wanamitindo zaudhi wengi India
9 years ago
Bongo Movies19 Sep
Picha: Wema Sepetu Akiwa na Team ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Hizi ni baadhi ya picha za mastaa wa bongo movies wanaokiunga mkono chama cha mapinduzi na kushiriki katika kwampeni za chama hicho kupitia kampeni yao ya MAMA ONGEA NA MWANAO.
“Dah Tunashinda kwa Kishindo kikubwa mjue.. John Pombe Magufuli na Mama Samia mpaka Ikulu....”-Wema aliandika kwenye moja ya picha hizo hapo juu.
10 years ago
Bongo Movies24 Feb
PICHA: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu
Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’ imewakuna watu wengi na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana.
Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.
Kiukweli kabisa kijana huyu ni...